Ooh no, hope sahiv watakuwa wazee jamani 😭😭, niliwapenda sana, na nyimbo zao ni bomba mbayaHii kwaya ni kiboko. Album yangu ya nyimbo za dini za muda wote ni " Katika Viumbe Vyote".
Na kuna wimbo wao mmoja unaitwa " Bwana Alizaliwa" Nimejaribu kuutafuta siupati ninaupenda sana.
Pia nasikia wale waimbaji wengi walikua ni wakimbizi toka Burundi walisharudi huko kwao.
HakikaDah Bushmamy umenikumbusha mbali aisee..hiz ulbum zilitakuwa kuingia kwenye gold list
KumbeHii kwaya ni kiboko. Album yangu ya nyimbo za dini za muda wote ni " Katika Viumbe Vyote".
Na kuna wimbo wao mmoja unaitwa " Bwana Alizaliwa" Nimejaribu kuutafuta siupati ninaupenda sana.
Pia nasikia wale waimbaji wengi walikua ni wakimbizi toka Burundi walisharudi huko kwao.
Ningeweka hapa nyimbo yao moja,naona app imenikatalia kuattach....All in all ukisikia kijana anazijua hizo nyimbo jua ni dalili bila shaka amekulia nyumba ya watu wenye kumjua Mungu au ni familia ya watumishi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app