Naomba kujua walipo waimbaji wa kwaya ya Ulyankulu Bara barabara ya 13

Naomba kujua walipo waimbaji wa kwaya ya Ulyankulu Bara barabara ya 13

Habari Njema Kwaya Arusha mjini... MWIMBIENI BWANA WIMBO MPYA

Tumaini kwaya{shangilieni} Arusha... MWANA MPOTEVU

Mapigano Ulyankulu kwaya Tabora... MWENYE MAMLAKA

Kwa viumbe vyote kwaya Ulyankulu br. 13... KWA VIUMBE VYOTE

Nkinga Christian Choir Tabora.. SAULI

HUIMA{HUDUMA YA INJILI MASHULENI} CHOIR MWANZA... DUNIA SASA..

SAYUNI KWAYA TABORA... ISIKIENI SAUTI

Zingine nyingi pia nimezisahau.
 
Pia kuna ile kwaya waliimba wimbo wa "SAULI"... NKINGA CHRISTIAN CHOIR TABORA

"SAULI wawatesa watu wangu, Sauli Sauli mbona waniudhi"

Mwingine waliimba hivi..
"Tunza maisha yako, ukawe na bidii, kwake Yesu mwokozi.. Umpende Muumba kwa siku zako zote"
umenikumbusha mbali haswa
 
Kuna hizi pia

HAKI HUINUA TAIFA

KWA NINI WATAKA KUJIUA

TUTAIMBA MILELE TUTAIMBA
 
Aisee ni kweli,kujua hizo nyimbo lazima uwe kwenye familia ya utumishi au anamjua Mungu,enzi hizo nilikuwa nazunguka na mzee kwenye mikutano ya Injili,usiku kuanzia saa moja nawasha jenereta naweka tapes za hizo nyimbo halafu mida ya saa mbili mkanda wa Mateso ya Yesu au Samson & na delila tunaweka,l.

Basi watu wanajaa,pale kwenye mateso ya watu wanaanza kulia na kutubu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha mbali sana niliwahi kutubu kwenye mkutano wa sinema ya Yesu!
 
Kuna hizi pia

HAKI HUINUA TAIFA

KWA NINI WATAKA KUJIUA

TUTAIMBA MILELE TUTAIMBA
Tutaimba milele waliimba Habari Njema Choir Arusha mjini...

Kwa nini wataka kujiua waliimba Kinondoni revival choir
 
nawafahamu zaidi ya saba wapo Arusha na ni wafanyabiashara wazuri tu
 
Back
Top Bottom