mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale waimbaji enzi hizo walikuwa waimbaji haswa si hawa wa kipindi hiki
Ooooo matendo yako si mazuri nakushaurii eeeeeeee, we weeeeee ni barua watu wote wana kusomaaaaaaaa. Da atukuzwe Mungu kwa watu hawa.Hata mimi ilikuwa ngumu sana kuzitenganisha . Hata kwangu mimi mapigano ulyankulu nawakubali mnoo
Da nikikumbuka hizo nahisi mpk machoz yananitoka, zilikuwa ni nyimbo pendwa sana kwa late my mom.Nakulilia Jehovah ni wimbo wao Bora.Hizo kwaya tulikuwa tunasindikizwa na Sungura mjanja.
Kuna kitu umenifumbua macho Leo kwa zaidi ya miaka 30 sikujua kwamba album ya Kwa viumbe vyote imeimbwa na kwaya tofauti na iliyoimba Aliyesamehewa. Zote najua ni Ulyankulu moja kumbe kuna tofauti ya barabara? Asante JF.Kwangu mpambano uwe
Mapigano ulyankulu barabara ya 22
Vs
kwaya ya Unlyahulu barabara ya 13
Ingawa kwangu wote wakati mnoooo
Yan jamani ya kale ni dhahabu [emoji24][emoji24]
Hawa jamaa wapo ingiwa baadhi walienda Burundi lakini asilimia kubwa wapo na kwaya yao ipo.Hii kwaya Ilivumaga sana miaka ya 90 huko, Nyimbo zao maarufu ni pamoja na
Samson na Delilah, Katika viumbe vyote Ayoub.
Hii kwaya ilijipatiaga umaarufu sana enzi hizo, naomba kujua kama hawa waimbaji bado wote wapo hai? Na wengine wapo wap leo hii?
Asante
Aisee wapo mkuu tena kamama kamoja hajaolewa wala hata hakabadiriki.Ni ulyankuru afu ni kitamho sana watakuwa wanalea vtukuu tu
Hii comment yako imekaa kikudaaaaa.Aisee wapo mkuu tena kamama kamoja hajaolewa wala hata hakabadiriki.
Halafu ni Ulyankulu na siyo ulyankuru.
Sent using Jamii Forums mobile app