Naomba kujua walipo waimbaji wa kwaya ya Ulyankulu Bara barabara ya 13

Naomba kujua walipo waimbaji wa kwaya ya Ulyankulu Bara barabara ya 13

Asilimia kubwa wapo kwaya zote mbili, maoigano na viumbe vyote wapo na wakigoma kurud Burundi ila baadhi walifariki vifo vya kawaida... Nipo Mara nyingi Sana huko kufanyabiashara na huwa naabudia kwenye makanisa yao makuuuubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama ni mid 90s,

Sababu ipo video youtube mzee mmoja kati ya wale walioimba kwaya anaeleza.nyimbo ya katika viumbe vyote imetungwa mwaka 1979,na eneo lilipokuwa kanisa pamekuwa pori.so album kama ilichelewa sana itakuwa ilitoka 1982-1985.

Ilikuwa 1989.
 
Pia kuna ile kwaya waliimba wimbo wa "SAULI"... NKINGA CHRISTIAN CHOIR TABORA

"SAULI wawatesa watu wangu, Sauli Sauli mbona waniudhi"

Mwingine waliimba hivi..
"Tunza maisha yako, ukawe na bidii, kwake Yesu mwokozi.. Umpende Muumba kwa siku zako zote"
 
Back
Top Bottom