Naomba kujua zaidi kuhusu Toyota Crown Majesta

LJ BLOG,
Kama hili dude linaenda kilometa 19 kwa lita moja bas ist itaenda kilometa 40 kwa lita moja

The aggregate total capacity of 343 hp the hybrid powertrain provides excellent fuel economy - mileage to 18.2 km / l, for a car of this class level. It is worth recalling that the former Majesta sedan on 1 liter of gasoline could drive 8.6-9.4 km.
 
LJ BLOG,
😁😁 Ati lita moja inaenda kilometa 18 hata IST sio hivo mkuu...hiyo consumption nan kakwambia?
 
LJ BLOG,
Nan kawaambia v8 linakimbia hilo la toyota? Suv la ukubwa ule kuwa na 265hp ni ndogo sana ....fanya hesabu ya power to weight ratio unagundua v8 inasumbuliwa na sedan nyingi sana hata ukiwa na gari ina engine ya 1G FE kina 1Jz zilizoko kwa brevis na gari kadhaa marx za kawaida kabisa ...namaanisha gari za thaman zisizozid hata milion 16....

lile ni zito tu linatulia barabaran yan hata ukiwa 130 plus haliruki ruki kama gari dogo ila mkiekewa runway ya kilometa hata tatu imenyooka muanze mwaga moto ukiwa hata na brevis utakaa mbele ya v8 la diesel la toyota lolote lile ... sembuse we una crown lenye 339 hp si ndo hatokuona ...fanyen majaribio achen ogopa lile gari
 
LJ BLOG,
Kama kukariri unashindwa andika kwanini usikubali ni typing error hizo 19km kwa lita??🤔🤔

Unaeza nambia hili swal nishauliza sijaona majibu sahihi ..kuwa gari za 2005 kupanda juu zinatumiaje umeme mwngi kuliko mafuta 😁😁 ili hali gari hadi litembee lazima lichome mafuta sasa huo umeme unatumika wap ilihali gari si hybrid
 

Kodi yake ikoje


Sent using Jamii Forums mobile app
 
subaru forester e- boxer. yani kuna gari zingine ukiashuka maeneo wake za watu wanajuta koulewa na wanaume zao masikinii 😅😅😅😅
 
subaru forester e- boxer. yani kuna gari zingine ukiashuka maeneo wake za watu wanajuta koulewa na wanaume zao masikinii [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sasa hii ina utajiri gani mkuu?

Hybrid Suv ya kwanza kutengenezwa na Co. Ya Subaru,Co’s nyingine za Kijapan zina hybrid SUV’s kitambooooooo.
 
Sasa hii ina utajiri gani mkuu?

Hybrid Suv ya kwanza kutengenezwa na Co. Ya Subaru,Co’s nyingine za Kijapan zina hybrid SUV’s kitambooooooo.
unajua forester gan nayo ongelea apo alafu kuwa na gari ya kitajiri kumuonekama zingine zina felii mkubwaa
 
unajua forester gan nayo ongelea apo alafu kuwa na gari ya kitajiri kumuonekama zingine zina felii mkubwaa

Hio ni gari ya kawaida kabisa sio kusema labda ni exotic car,angalia hata washindani wa category yake ni Toyota RAV4, Mazda CX-5,Volkswagen Tiguan etc so mpk hapo jua ni gari tu kama nyingine.

Au kilichokuchanganya hasa ni nini mkuu?Yenyewe kua hybrid,CVT,HP zake,au ni kitu gani hasa?Au yenyewe kuitwa Forester e-boxer?
 
inamuonekama wakibabe flai.
we utachagua ipi kata ya harrier hybrid na subaru forester hybrid.achana na rav 4 ni takataka
 
Kama unapenda huo mnyama, basi chungulia na Lexus LS460. Karibu vitu vyote ulivyovitaja hapo kwenye Majesta kule kwenye LS460 vinakuwa standard.

Ila kwenye ulaji wa mafuta hapo kasome vizuri. Itakuwa umesoma MPG. Kawaida lita moja huwezi zidi km 8 kwenye 3UZ. Labda sijui uendesheje aise.

LC V8 mbona tunamsumbua vizuri tu hata na visaluni vyetu vya kawaida mkuu. Shida kwenye bumps tu ndio tunatia heshima.
 
Kweli mkuu siku hizi mpaka kuna gari zipo zinajikadiria zenyewe kiasi cha nguvu tokana na uhitaji.
Kama kuna GMC moja inaweza tumia piston 4 tu kati ya 8 kama hazina uhitaji automatically hapo kama ni hybrid utaenda 50km na cc 4500.
 
Dude linaitwa majesta huko sijui jini gani cc zaidi ya 4000 halafu eti km19 kwa litre moja ya petroli
Technology ndugu gari nyingi zenye engine kubwa zinatumia zaidi umeme,, mafuta yanatumiza zaidi wakati wa kuwasha. Nakubaliana kabisa na mtoa hoja hapo juu
 
Kweli mkuu siku hizi mpaka kuna gari zipo zinajikadiria zenyewe kiasi cha nguvu tokana na uhitaji.
Kama kuna GMC moja inaweza tumia piston 4 tu kati ya 8 kama hazina uhitaji automatically hapo kama ni hybrid utaenda 50km na cc 4500.
Cylinder deactivation ipo Audi na Porsche.

Gari kama ni V8, kuna wakati kuna cylinders zinasimama zenyewe kufanya kazi zinabaki chache zinazopiga mzigo.
 
Ni sawa mkuu ukiongezea SUV umbo lake linakinzana sana na upepo kuliko hio sedan ambayo ipo chini chini na inakata upepo vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…