Prince jr 47
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 295
- 246
Halafu unaambiwa chombo ina zaidi ya cc4000[emoji23] [emoji23]1lita =19km, hapa umetudanganya mzee baba [emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu unaambiwa chombo ina zaidi ya cc4000[emoji23] [emoji23]1lita =19km, hapa umetudanganya mzee baba [emoji848]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa katuuzia chai mchana wa jua kali kabisaKwa hesabu hizo basi Terios KID itaenda 200km per 1lt
Samahani naona ni mpenzi wa BMW lakini nikuombe unisaidie kuhusu hizi BMW 1 series 116i kwenye upande wa fuel consumption na matatizo yake makubwa ya kiufundi na upatikanaji wa vipuli kwa hapa TanzaniaWeka Exceptions... BavariaView attachment 859619
Am BMW fan. Ila bila kua mnafiki BMW ni ghali sana ku-run especially ikija issue ya Maintenance.Samahani naona ni mpenzi wa BMW lakini nikuombe unisaidie kuhusu hizi BMW 1 series 116i kwenye upande wa fuel consumption na matatizo yake makubwa ya kiufundi na upatikanaji wa vipuli kwa hapa Tanzania
Haha Karibu bossNimecheka sana umenifurahisha sana kwa majibu yako mazuri. Asante sana mkuu
Chakushangaza unasema nimekudanganya wakati wewe unayejua inaenda l/km ngapi husemi halafu hizo km sijatoa kichwani mwangu mimi bali nimesoma kwa waliofanya review ya hio gari lakini Tatu Lita 1 inaweza kutembea Km 19 Kama unasafiri Kwenda umbali mrefu kama Mkoa hakuna kinachoshindikana.1lita =19km, hapa umetudanganya mzee baba [emoji848]
Mkuu,Mkuu kuhusu gari za Kijerumani aina ya VW Touran vipi? Kuna yenye CC 1980,1380 na 1580, je ipi inafaa? Je ina maintenance Cost za bei juu kama hao BMW? Tafadhali kama una info za ubora,matatizo na the like,tunaomba utusaidie kutoa darsa huru ili iwe na faida kwa wote. Kuna jamaa yangu alinunua VW Touran ya CC 1980 huu mwaka wa 4 anadunda nayo,ila alinitahadharisha kuwa zile za cc 1580(1600) siyo nzuri,sikuelewa nadharia yake!
Subaru ipi? Kama Forester ya mwaka 2009 na kuendelea yenye CC2500 hivi,ikiwa na 240kph,hiyo athlete yako itaachwa kama mtoto mdogo. Na hawa Fuji Heavy Industry ni kiboko,magari yao hupata nguvu ukikanyaga kidogo mafuta,wakati wewe unaitafuta 80kph ndani ya sekunde 3 mwenzako anatafuta 100kph. Ndo utofauti unaanzia hapo. Kwamba Subaru ya cc 1990 inapata speed kubwa ndani ya muda mfupi(acceleration) kwa muda mfupi though the same Speed at maximum wote gari ina 180kph.
Kwa hesabu hizo basi Terios KID itaenda 200km per 1lt
Rekebisha hapo kwenye 6. Majesta nyingi zina 3UZ-FE engine ambayo ni V8Kwa hapa Dar zipo chache sana hii nikutokana na CC kubwa na ulaji wa mafuta,anayemiliki hiyo ndinga ujue anajitambua kwenye pesa
Kuna majesta moja ipo pale kariakoo mtaa wa gerezani ni CC 4290 na kuhusu engine majesta nyingi ni cylinders 6
Asante Mkuu!!!Rekebisha hapo kwenye 6. Majesta nyingi zina 3UZ-FE engine ambayo ni V8