Habari ndugu zangu, mwenye kujua zilipo Ofisi za Posta katika Mkoa wa Pwani Wilaya ya Kibaha (Posta wanapotoa huduma wa kupokea na kutuma barua, na documnet zingine).
Habari ndugu zangu, mwenye kujua zilipo ofisi za posta katika mkoa wa pwani wilaya ya kibaha (posta wanapotoa huduma wa kupokea na kutuma barua, na documnet zingine). msaada tafadhali ndugu zangu