Naomba kujua zinakopatikana khanga za Mombasa

clinician

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
2,098
Reaction score
4,926
Habari wakuuu!

Naomba kufahamishwa sehemu yeyote ambayo naweza kupata khanga za mombasa kwa bei ya Jumla nchini Tanzania. Kama una mtu unamjua anafanya hiyo biashara naomba kuunganishwa nae.

Kwa aliyepo Dar es salaam ni vizuri zaidi.
 
nenda kitumbini mnazimmoja ukichukua kwa bando watakuuzia bei nzuri elf 8
Mie nipo mkoani mkuu,kwa sasa nipo Mara. Nitashukuru kama naweza kupata mawasiliano au ukurasa wa Instagram wa muuuzaji.
 
+255 782 143 143 CHAVDA VITENGE wasiliana nao hao wahindi wanamaduka Mnazi mmoja na mikoani wanakutumia
 
Mie nipo mkoani mkuu,kwa sasa nipo Mara. Nitashukuru kama naweza kupata mawasiliano au ukurasa wa Instagram wa muuuzaji.
Nipe aina na ua unalopendelea kwenye hzo kanga pia unahitaji kiasi gani sijawahi fanya hii Biashara Ila ninasafari ya Mombasa na maduka ya wasomali nayafahamu, karibu tuyajenge
 
Asante sana mkuu,nilikuwa nahitaji kuchukua hapa hapa bongo sababu niko nakimbizana na muda.
 
Kama bado hujapata na huna dalili za kupata siku mbili tatu hz katokea anakwambia anaweza pata source ya hyo kitu hapo unakuwa umesaidika au bado?
 
Back
Top Bottom