Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
Asante broomaana yake mbwa asipozurura hali
msemo umepitwa na wakati, unajaribu kusema kufanya kazi za nguvu ndo njia ya kupata pesa wakati siku hizi kazi za viyoyozi ni nyingi
Nilikiwaga nakuheshimu
Unataka lawamaKaa apo ndan na mkeo uone kama hata kodi mtapata