Naisujaki Lekangai
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 1,340
- 1,377
Hakuna hukumu iliyowai kutolewa kuhusiana na kesi hio, na pili kesi ilikua na nia ya tafsiri ya ibara za katiba na kuchallenge validity ya matamko ya rais kua yawe unconstitutional.... bado kuna kujivuta vuta kwakua hakuna alietuhumiwa direct.Yaani wadau wote wanaoingia jukwaa hili tangu 4/10/2017 mpaka leo 29/11/2017 hawajui hukumu iliyotolewa? Is it possible?
Kwa hiyo ina maana kwamba shauri hilo halijasikilizwa siyo? Too bad.Why this dilly dallying?Hakuna hukumu iliyowai kutolewa kuhusiana na kesi hio, na pili kesi ilikua na nia ya tafsiri ya ibara za katiba na kuchallenge validity ya matamko ya rais kua yawe unconstitutional.... bado kuna kujivuta vuta kwakua hakuna alietuhumiwa direct.