Naomba kujulishwa:Chadema, Mahakama, Zuio la Mikutano ya siasa.

Naomba kujulishwa:Chadema, Mahakama, Zuio la Mikutano ya siasa.

Naisujaki Lekangai

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
1,340
Reaction score
1,377
Naomba anayekumbuka/anayefahamu anijulishe.
Baada ya serikali kupiga marufuku mikutano ya siasa ya vyama, Chadema ilienda mahakamani kipinga narufuku hiyo.Sasa sikumbuki vizuri mahakama iliamua nini kuhusu shauri hilo maana ni kweli katiba na sheria ya vyama vya siasa inaruhusu vyama kuendesha mikutano ya siasa.
Jamani, mahakama iliamuaje?
 
Yaani wadau wote wanaoingia jukwaa hili tangu 4/10/2017 mpaka leo 29/11/2017 hawajui hukumu iliyotolewa? Is it possible?
 
Yaani wadau wote wanaoingia jukwaa hili tangu 4/10/2017 mpaka leo 29/11/2017 hawajui hukumu iliyotolewa? Is it possible?
Hakuna hukumu iliyowai kutolewa kuhusiana na kesi hio, na pili kesi ilikua na nia ya tafsiri ya ibara za katiba na kuchallenge validity ya matamko ya rais kua yawe unconstitutional.... bado kuna kujivuta vuta kwakua hakuna alietuhumiwa direct.
 
Yaani wadau wote wanaoingia jukwaa hili hawajui hukumu iliyotolewa? Is it possible?
Hakuna hukumu iliyowai kutolewa kuhusiana na kesi hio, na pili kesi ilikua na nia ya tafsiri ya ibara za katiba na kuchallenge validity ya matamko ya rais kua yawe unconstitutional.... bado kuna kujivuta vuta kwakua hakuna alietuhumiwa direct.
Kwa hiyo ina maana kwamba shauri hilo halijasikilizwa siyo? Too bad.Why this dilly dallying?
 
Back
Top Bottom