Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Nimekupata mkuu ila juzi juzi mahindi yalishuka sana na watu wa mtwara na lindi wanajua kilichowakuta kwenye bei ya korosho...Biashara ni ya chakula tu, anyway ngoja wadau waje
Mimi ni mtu niliepata hasara ya mahindi kutokana na siasa za mwaka jana.Nimekupata mkuu ila juzi juzi mahindi yalishuka sana na watu wa mtwara na lindi wanajua kilichowakuta kwenye bei ya korosho...
Nashukuru kwa mchango wako!!
Nimekupata mkuu... Thanks once again!!Mimi ni mtu niliepata hasara ya mahindi kutokana na siasa za mwaka jana.
Hapo nilikuwa namaanisha kuuza restaurant ya chakula. Kwa sasa kilimo siwezi lima ila ni mwendo wa kununua nafaka basi hapo lazima upige hela
Una mawazo mazuri sana, shukran mkuuBiashara ya furniture zama zake zimekwisha mkuu, in this time of economic difficult watu wanaspend their money more wisely...its only kwenye basic needs pekee and not otherwise.
Endelea kusumbua akili kutafuta biashara nyingine yenye circulation nzuri maana hata hii ya furniture circulation yake bado ni hafifu sana as people don't always buy furniture. Na kwenye biashara lilia mzunguko na si kingine ndio maana richest businessman in Tanzania hawafanyi biashara za Kariba unayotaka kufanya.
Endelea kufikiri kwa kina tena uje na brilliant idea but kwa hii ya furniture...Mimi kwangu sikuungi mkono.
Nlikua nawaza vitu kama vitanda, meza, viti na mashuka... Alafu niuze kwa bei ya chin kidogo mkuu... Sintatoboa??kaka biashara ya furniture hailipi kwa sasa,watu wengi kwa sasa wananunua furniture used tu kwenye mitandao ya kijamii hasa instagram
hakuna biashara inayolipa kwa sasa kama chakula,japo hali za watu ni mbaya lakini kila siku lazima watafute chochote kwa ajili ya chakula,siku hizi kuvaa na hata kuwa na furniture nzuri imekuwa kama anasa kutokana na hali ya uchumiNlikua nawaza vitu kama vitanda, meza, viti na mashuka... Alafu niuze kwa bei ya chin kidogo mkuu... Sintatoboa??
Nashukuru sana mkuu kwa mawazo yako!!hakuna biashara inayolipa kwa sasa kama chakula,japo hali za watu ni mbaya lakini kila siku lazima watafute chochote kwa ajili ya chakula,siku hizi kuvaa na hata kuwa na furniture nzuri imekuwa kama anasa kutokana na hali ya uchumi
You can't be serious... Barbershop ni biashara za kutafutia hela ya kula tu mkuu....katika maisha unahitaji kufikiri biashara ambazo ni game changer...ukitaka kufanikiwa katika maisha lazma ufikiri kama akina MO au Bakheresa. They think big..sio ishu za vibabashop hivyo wanawaachia akina Nyandu tozi wanyoane viduku.Barbershop vp?
Nashukuru sana mkuu... Nlipanga mzigo mwingi niagize kutoka nje...dubai na china then nije niuze hapa kwetu... Na Sio kutengeneza mwenyewe... Japo nnaweza kufanya hivyo badae!!Kama hutakuwa tegemezi kwa biashara hiyo fungua! Vilevile ili kupunguza gharama za bidhaa ni vema ununue malighafi kisha umkodi fundi akufanyie kazi.
Kuna wazo la kuuza nguo wadau, sijui limekaaje!!
Nashukuru kwa mawazo yako mkuuMkuu vipi biashara ya chakula, restaurant ukipata sehemu nzuri na wapishi wazuri unatoboa...kingine usidharau faida ndogo, fungua biashara ndogo kisha multiply it...hata kama net faida ni 30k kwa siku ukiwa nazo 5,6..10 si haba
U can't be serious mamen?,berbershop halafu unataka kuwa mfanyabiashara milionea?Barbershop vp?
Kumbe uagize mzigo kutoka nje,unafikiri ni watanzania wangap wataaford bei?,mm kwa ushaur wangu nakubaliana na huyo jamaa hapo juu aliekushauri uwe unanunua malighafi mwenyewe then utafute mafundi wawe wanakutolea vitu vya shoppers Kama DubaiNashukuru sana mkuu... Nlipanga mzigo mwingi niagize kutoka nje...dubai na china then nije niuze hapa kwetu... Na Sio kutengeneza mwenyewe... Japo nnaweza kufanya hivyo badae!!