atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Hili nalo ni wazo zuriKuna wazo la kuuza nguo wadau, sijui limekaaje!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo ni wazo zuriKuna wazo la kuuza nguo wadau, sijui limekaaje!!
Hivi akianza na barbershop moja ya maana baadae akatanuka kila kwenye mji mkubwa na mdogo akaweka barbarshop, atakuwa hathinki big! Jambo lolote unaweza ukalifanya katika ukubwa ukiamua tu.Sio lazima wote wauze chakula kama moe.Watu kila Siku wanahitaji kunyoa.You can't be serious... Barbershop ni biashara za kutafutia hela ya kula tu mkuu....katika maisha unahitaji kufikiri biashara ambazo ni game changer...ukitaka kufanikiwa katika maisha lazma ufikiri kama akina MO au Bakheresa. They think big..sio ishu za vibabashop hivyo wanawaachia akina Nyandu tozi wanyoane viduku.
Think big, start small.
Barber shop changamoto ni usimamiziHivi akianza na barbershop moja ya maana baadae akatanuka kila kwenye mji mkubwa na mdogo akaweka barbarshop, atakuwa hathinki big! Jambo lolote unaweza ukalifanya katika ukubwa ukiamua tu.Sio lazima wote wauze chakula kama moe.Watu kila Siku wanahitaji kunyoa.