Naomba kujulishwa kuhusu biashara ya kuuza furniture za majumbani

Naomba kujulishwa kuhusu biashara ya kuuza furniture za majumbani

You can't be serious... Barbershop ni biashara za kutafutia hela ya kula tu mkuu....katika maisha unahitaji kufikiri biashara ambazo ni game changer...ukitaka kufanikiwa katika maisha lazma ufikiri kama akina MO au Bakheresa. They think big..sio ishu za vibabashop hivyo wanawaachia akina Nyandu tozi wanyoane viduku.

Think big, start small.
Hivi akianza na barbershop moja ya maana baadae akatanuka kila kwenye mji mkubwa na mdogo akaweka barbarshop, atakuwa hathinki big! Jambo lolote unaweza ukalifanya katika ukubwa ukiamua tu.Sio lazima wote wauze chakula kama moe.Watu kila Siku wanahitaji kunyoa.
 
Barber shop changamoto ni usimamizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom