Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Habari wana JF!!
Nimekua na hili wazo mda kidogo yaani kifungua duka la kuuza samani za ndani kama meza, makochi, viti,vitanda,mashuka na mengine kama hayo.
Kwa wenye uzoefu tafadhali naomba mawazo yenu hasa katika:
1.Mtaji.
2.Kodi.
3.Sehemu nzuri za kuagiza mzigo na
mbinu za kufanikiwa katika hii biashara!!
Niliplan nianze kuagiza mzigo na kuuweka home alafu nianze kuuza kwenye mitandao kama facebook na instagram alafu badae nichukue room...
Pia nilitaka nifungue ofisi Arusha, Moshi au Dsm!! (hasa arusha)...
Nakaribisha mawazo yenu wakuu!!