Salamu,
Naomba kuelimishwa kuhusu biashara ya mortgage hapa kwetu Tanzania! Ipoje,je sisi wa kipato Cha chini tunaimudu!?
Mkuu
MAKULUGA , kwanza asante kwa swali hili, pili hapa umechanganya vitu viwili, biashara ya mortgage na ku mortgage. Biashara ya mortgage ni biashara ya matajiri wenye land, na uwezo mkubwa to develop that land kwa kujenga properties for sale, lease or rent. Masikini kwenye biashara hii ni kuwa madalali wakipata pesa ndipo nao hungeuka landlords.
Ku mortgage ni mtu wa kawaida kabisa masikini asiye na land, anaishi nyumba ya kupanga, badala ya kulipa kodi kila mwezi kwa baba mwenye nyumba, wewe masikini, unachukua mortgage kwa kukopeshwa hiyo nyumba, halafu ile kodi yako ya kila mwezi ndio inalipia hiyo mortgage, baada ya kukamilisha, nyumba inakuwa yako!.
Ipi inalipa kujenga pole pole au kuingia kwenye hii Mikopo?
Wenzetu ulaya wote kila kitu ni mikopo na kulipa kidogo kidogo!, mimi baada tuu ya kuoa tulihamia UK then US. Kule wife akabaki mimi nikarudi Bongo kuendesha kipindi cha Kiti Moto, after 2 years nikarudi US. Vitu nilivyomkuta navyo wife, niliogopa!, alichukua mortgage, hivyo ana nyumba, gari New brand 0km!, kila kitu cha ndani, sofa pure leather!. Kila kitu ni loans. Hivyo mikopo ndio kila kitu!.
Ni Benk gani inatia huduma hii?
Vipi kuhusu Bank kudhamini kununua nyumba!?
Nawasilisha!
Kwa sasa mabenki karibu yote yanadhamini mortgage na kuna makampuni kibao ya real estate agent wenye viwanja, wanakukopesha kiwanja, unajengewa unahamia ndipo unalipa deni ukiwa kwako
Mifuko ya pensheni NSSF na PSSSF, imejenga nyumba za bei poa, unapewa unaingia na kulipia kidogo kidogo.
P