Naomba Kujulishwa Mchezaji Mpira Duniani Aliyefariki kwa Covid-19

Naomba Kujulishwa Mchezaji Mpira Duniani Aliyefariki kwa Covid-19

Naomba kufahamishwa mchezaji wa mpira ambaye yupo active, wa timu yoyote duniani aliyefariki kwa ugonjwa wa korona.
Same question nimekuwa nikijiuliza sana, hakuna mchezaji aliyekufa hata mmoja.
Mybe kwa sababu wanakuwa healthy na wanathibitishwa kuhusu Hilo kabla ya kusajiliwa. Pia mazoezi wanayofanya yanafanya wawe na afya nzuri ya mapafu na moyo.
 
Huwezi kuwa mfanya mazoezi Kama ya Mpira alafu uumwe Corona Hadi kufa,never!!

Mimi mwenyewe sijui chochote kuhusu Corona..hata mafua kazini watu wanaweza kuumwa Kwa kupokezana lkn Mimi sijawahi kupata Kwa sababu ya kufanya mazoezi daily asubuhi na jioni
 
Kwani kuna mganga yeyote wa jadi duniani ameshakufa kwa Koronations?
 
Corona kwa asilimia kubwa haiui vijana, ila wewe kama ni muhenga na unachezaga mchangani haikuachi salama.
 
Back
Top Bottom