Naomba kujulishwa mfumo wa hedhi ulivyo

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Habari wadau,

Naomba mnijuze kuhusu mfumo wa hedhi kwa mwanamke ulivyo, tarehe ngapi mara nyingi inaanza kwa hao wanawake?

Je, kwenye tarehe kama 19 inaweza kuanza? Pia je inakuwaje mpaka inatokea mimba baada ya maingiliano.

Ahsanteni.
 
Inategemeana na mzunguko wako una cku ngapi,kuna 26,28,30,31na 35.ila mzungo wa kawaida ni 28 hapo tar 1 mpk 8 upo free zone ila ndan ya hizo cku 8 toa utakazo kuwa p' ya 9mpk ya 18 danger zone 19 mpka 28 free zone tena
 
Ebu muulize huyo mwanamke wako anaanza hedhi tarehe ngapi? Sisi hatujui kama anaweza kuanza hedhi trh 19
 
habari wadau naomba munijuze kuhusu mfumo wa hedhi kwa mwanamke ulivyo tarehengap mara nyingi inaanza kwa hao wananwake??je kwenye tarehe kama 19 inaweza kuanza??pia je inakuwaje mpaka inatokea mimba baada ya maingiliano..ahsanteni
Nenda kwenye jukwaa maalum huku hautapata majibu sahihi halafu weka uzi wako vizuri ueleweke kirahisi.. ngoja waje
 
mi ananificha pia ananiambia huwa inabadilika.
 
Baada ya kusumbuka sana kusaka mtoto nilienda hospital nikapewa muongozo huu
Ipo hivii

Siku ya kwanza mke/demu wako anapoingia hedhi unaihesabu kama 1, siku ya pili ni 2 mmpaka cku 10, hapo mwanamke hawez kupata mimba

Baada ya hapo kuanzia siku ya 11 tangu hedhi ianze mpaka siku ya 15 hapo ni khatari, ni mimba tu, ila siku ya 14 ndio PEAK,hapaongopi hapo (ovulation)

Kuanzia 16-mwisho atakapoanza tena ni hakuna mimba , cheki hiyo picha hapo chini kwa msaada zaidi

 
Muanzisha uzi, una elimu gani? Nadhan hapa ninaweza kusaidia na wachangiaji wengine lugha sahihi ya kukupa mawazo
 
Yai linatoka kati ya cku ya 12 na 14 hivyo rudisha cku tatu nyuma kwenye 12 na ongeza cku 3 mbele kwenye 14 hizo ni cku hatar.
 
guh jamani ngoja nikuambie juu juu
Yani hata ikitokea nimeumwa nikaenda hospital na dr akitokea kuniuliza Mara ya mwisho kupata periods ni lini tehe tehe tehe ntatoa macho Ka fundi saa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…