Lakikunene
Member
- Jul 18, 2017
- 98
- 92
Mada ifutwe kwa sababu zipi? hili si ndio jukwaa la mambo hayo au hujui uko wapi?Kwann usiende dukani ukawa unazinusa moja moja hadi upate unayohitaji?
Mada kama hizi Mods mnazifuta tu.
Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
Na kunuka kama beberu la mbuzi hakukufanyi uwe rijali zaidi.Wewe jinsia gani? Kuonekana gentleman haikupi kibali cha kuwa mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda mto mada ndo ananuka kama beberu.Na kunuka kama beberu la mbuzi hakukufanyi uwe rijali zaidi.
At least he is not in favor of being so. Sasa iweje akatishwe tamaa?Labda mto mada ndo ananuka kama beberu.