Naomba kujulishwa ni Spray gani itanifanya ninukie vizuri?

majibu haya kama ningekuwa nawaona live hasa sisi wanaume unalikuta jitu linalo jibu shit ni la kiume then lina dressing table ndani ya perfume kibao kama mwanamke🥰🥰🥰🥰🥰
 
Habari kaka Samwel Ngulinzira,
Umesema fighting temptation kuna deodorant zake ambazo bei zake ni around 10,000.

What about perfume zake kabisa. Nataka nipate estimate ya bei nijue naenda kununua deodorant ama perfume yenyewe.
 
Perfume original ni parefu, mfano Issey Miyake original ni 180,000/=.
Niliwahi kununua Blue for Men 25,000/= ila sina uhakika kama ilikua original au feki.
Kuna original na feki inabidi uchukulie maduka makubwa usije kuuziwa feki kwa bei ya original.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…