Naomba kujulishwa ni Spray gani itanifanya ninukie vizuri?

Naomba kujulishwa ni Spray gani itanifanya ninukie vizuri?

Hivi kwann mtu kauliza swali tena kwa ustaarabu kabisa halafu baadhi ya watu mnajibu vibaya jamani au kwa sababu kasema kipato chake kidogo?,kama unaona huwezi kumsaidia au kujibu soma tu na upite kimya kimya...yupo jukwaa husika kabisa..acheni hizo ndugu zangu.
Japo n mwaka sasa umepita lakin wewe mkuu uliongea jambo LA busara sana! Watu wanapenda kudharau mada za wengine lakn kila mtu anapokuja na Uzi humu ujue anahtaj msaada! Hongera sana mkuu huko uliko na Mungu akubarik mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mtoa mada kwa majibu ambayo hukuyategemea, ila jamani c lazima kuchangia kila mada, waweza soma then ukapotezea ukahamia jukwaa lingine tu. Kuhusu body spry mimi huwa situmii, natumia pafyumu inaitwa bondage ni nzuri na inakaa kwa nguo kwa mda mrefu tu! Ahsante
Mkuu, hyo Inauzwa pesa ngapi kW duka..?
 
Wanaojibu vibaya hali zao mbaya hawawezi hata kununua spray ya bei rahisi ndio maana wanawaka kama mbogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom