Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Nenda Karume mkuu. Zipo nyingi sana kwa hiyo bei. Ila kuwa makini unaweza kuuziwa maji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiasi MkuuMkuu pole kwa misukosuko naimani umeshapata spray nzurii
Shingapi mkuusignature, lakini bei imesimama
Big up broHongera sana mkuu mungu akubariki akuongeze hekma
$163Shingapi mkuu
Bila kusahau expelRungu, Hit na zinginezo
Umeulizwa shilling ngapi? Tanzania sarafu inayotumika ni shilling.$163
Haki ya mungu unaeza kumtwisha mtu ndoo, yani umeuliza kitu ili ufahamishwe ila kuna choko atakuja kutoa jibu la sokoni kwenya mada ya benki!Jf kiboko ... Majibu unayopewa ukiuliza swali waweza piga mtu ngumi huko uliko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umakuwa MAITI hadi utamani marashi ya kunukia vizuri?Habari zenu wanajukwaa..,Mimi naomba kujulishwa ni Spray gani itanifanya ninukie vizuri yaani ki (Gentleman) ya Bei Rahisi kwanzia Buku5-10...??
NOTE:HALI YANGU YAKIPATO NI NDOGO NDIO MAANA NIKAULIZIA SPRAY NA SIO PERFUME..Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nitafute kuna bidhaa nauza nzuri za spray moja inaitwa Activelle&Ascendant zina last long 24hrs na nyengine 48hrsHabari zenu wanajukwaa..,Mimi naomba kujulishwa ni Spray gani itanifanya ninukie vizuri yaani ki (Gentleman) ya Bei Rahisi kwanzia Buku5-10...??
NOTE:HALI YANGU YAKIPATO NI NDOGO NDIO MAANA NIKAULIZIA SPRAY NA SIO PERFUME..Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app