Naomba kujulishwa ni Spray gani itanifanya ninukie vizuri?

Naomba kujulishwa ni Spray gani itanifanya ninukie vizuri?

hahaha kuna watu wana roho mbayaa ....sio mbaya bro ..mambo ya perfum sielewagi semaa hii inaweza ikakusaidia kanunue peremende jiti mbili ...tu unanukia miaka miaah
 
Habari zenu wanajukwaa..,Mimi naomba kujulishwa ni Spray gani itanifanya ninukie vizuri yaani ki (Gentleman) ya Bei Rahisi kwanzia Buku5-10...??

NOTE:HALI YANGU YAKIPATO NI NDOGO NDIO MAANA NIKAULIZIA SPRAY NA SIO PERFUME..Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umakuwa MAITI hadi utamani marashi ya kunukia vizuri?
 
Habari zenu wanajukwaa..,Mimi naomba kujulishwa ni Spray gani itanifanya ninukie vizuri yaani ki (Gentleman) ya Bei Rahisi kwanzia Buku5-10...??

NOTE:HALI YANGU YAKIPATO NI NDOGO NDIO MAANA NIKAULIZIA SPRAY NA SIO PERFUME..Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nitafute kuna bidhaa nauza nzuri za spray moja inaitwa Activelle&Ascendant zina last long 24hrs na nyengine 48hrs
 
Back
Top Bottom