Naomba kujuzwa Bar au night club zenye karaoke Dar es salaam

Naomba kujuzwa Bar au night club zenye karaoke Dar es salaam

Njoo Kimboka by Night hapa Buguruni CCM au mataa kila ijumaa. Kumbuka hapa zinauzwa pombe za kijanja tu kama Safari, Bingwa, Kick, Double Kick na konyagi. Hatuuzi wine, maji wala soda.
 
mfano mtu unawekewa biti la wimbo wa beyonce wewe unaimba live ndo karaoke mkuu.
Dah yaani Kila mtu na interest yake,mie hayo Makaraoke huwa naona kama kelele fulani tu,Sina interest hata kidogo.Ila nikisikia sehemu Kuna hizi live band akina Nyooshi El Sadat,Mara Twanga pepeta au akina Patcho,akina Bella hapo unakuwa umeniroga kabisa
 
Mimi kaka nikiona totoz zinapitapita na mikia yao imebinuka kama sungura hata ukinipigia simu. Nakuahidi sitasikia.
 
Hilo la mikia mkuu ni Karibu la kila mtu,ndio maana bar ambazo mikia huwa haikauki zinajaza kweli sio mchezo.Mikia ikikauka tu na wateja wengine wanapungua

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kumbe tuko wengi. Mimi nikifika bar natafuta mmoja mwenye kijungu kilicho tulia na mwambia na yeye apate kinywaji. Nikiagiza supu na mwambia nayeye aagize supu anayoitaka na beer ikianza kupanda nikitaka kuituliza na mshkaki na yeye pia huku nakagua shanga. Aluuh
 
Dah yaani Kila mtu na interest yake,mie hayo Makaraoke huwa naona kama kelele fulani tu,Sina interest hata kidogo.Ila nikisikia sehemu Kuna hizi live band akina Nyooshi El Sadat,Mara Twanga pepeta au akina Patcho,akina Bella hapo unakuwa umeniroga kabisa
Kweli aisee,mi mwenyewe kwenda kula vyombo bar afu watu waanze kuimba ujinga ujinga wao sio hobby yangu hio

dodge
 
princes ariana umetisha. Mtoto wa kike unajua ratiba za kumbi za starehe? Hawa ndio waif material wa Makonda. ? Huko tuendako watu wataenda kuchumbia 40/40 Tabata
Afu mambo hayo nmeanza mwaka huu. Nilikua sijuagi chochote.
ni vile mwaka huu nimeamua uwe wa bata tu maendeleo nme pause kwanza.
mkuu Nikifika popote bill nalipa mwenyewe kwanini nisiende hadi nakachereni kula bata.
uzuri mi sio komba nakunywa glass moja basi[emoji2].. anaenitaka atanikuta humo humo anioe mana nmejifungia miaka 24 na hakuna aliejitokeza... si bora niende havoc nikakeshe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom