Naomba kujuzwa Bar au night club zenye karaoke Dar es salaam

Afu mambo hayo nmeanza mwaka huu. Nilikua sijuagi chochote.
ni vile mwaka huu nimeamua uwe wa bata tu maendeleo nme pause kwanza.
mkuu Nikifika popote bill nalipa mwenyewe kwanini nisiende hadi nakachereni kula bata.
uzuri mi sio komba nakunywa glass moja basi[emoji2].. anaenitaka atanikuta humo humo anioe mana nmejifungia miaka 24 na hakuna aliejitokeza... si bora niende havoc nikakeshe tu

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23]🤣🤣
 
mfano mtu unawekewa biti la wimbo wa beyonce wewe unaimba live ndo karaoke mkuu.

Khasante sana Mkuu kwa kunitoa tongotongo ila hiyo live unaomba wimbo wa huyo mwanadada au ata wa Christian Bella kutumia Biti la Beyonceeee??
 
unaimba wimbo wa biti husika kama biti ni forever young ya jay z unaimba huo huo. kumbuka inakuwepo screen kubwa ambapo maneno ya huo wimbo yanapita unafanya kurudia tu. huku watu wanapata kinywaji na chakula.
 
Mkuuu nimepata majibu mawili la.kwanza jamaa kaniuliza kama anaweza kubinuka sarakasi 9t club?,Mwingine kasema ni kutumia Biti ya msanii alafu ww ukawa unaimba live!!!!
safi, wametuelewesha kwa kweli
 
Afu mambo hayo nmeanza mwaka huu. Nilikua sijuagi chochote.
ni vile mwaka huu nimeamua uwe wa bata tu maendeleo nme pause kwanza.
mkuu Nikifika popote bill nalipa mwenyewe kwanini nisiende hadi nakachereni kula bata.
uzuri mi sio komba nakunywa glass moja basi[emoji2].. anaenitaka atanikuta humo humo anioe mana nmejifungia miaka 24 na hakuna aliejitokeza... si bora niende havoc nikakeshe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Just Mualiko tu

Miaka 24 bado kigori kabisa!! Kula maisha dada
 
Triple seven -Mikocheni

Kwetu Pazuri Bar -Tabata
 
Back
Top Bottom