Naomba kujuzwa Bar au night club zenye karaoke Dar es salaam


[emoji23]🤣🤣
 
mfano mtu unawekewa biti la wimbo wa beyonce wewe unaimba live ndo karaoke mkuu.

Khasante sana Mkuu kwa kunitoa tongotongo ila hiyo live unaomba wimbo wa huyo mwanadada au ata wa Christian Bella kutumia Biti la Beyonceeee??
 
Khasante sana Mkuu kwa kunitoa tongotongo ila hiyo live unaomba wimbo wa huyo mwanadada au ata wa Christian Bella kutumia Biti la Beyonceeee??
unaimba wimbo wa biti husika kama biti ni forever young ya jay z unaimba huo huo. kumbuka inakuwepo screen kubwa ambapo maneno ya huo wimbo yanapita unafanya kurudia tu. huku watu wanapata kinywaji na chakula.
 
Mkuuu nimepata majibu mawili la.kwanza jamaa kaniuliza kama anaweza kubinuka sarakasi 9t club?,Mwingine kasema ni kutumia Biti ya msanii alafu ww ukawa unaimba live!!!!
safi, wametuelewesha kwa kweli
 
Just Mualiko tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 24 bado kigori kabisa!! Kula maisha dada
 
Triple seven -Mikocheni

Kwetu Pazuri Bar -Tabata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…