Naomba kujuzwa Basi zuri la Dar mpaka Mwanza msimu huu wa sikukuu 2022

Naomba kujuzwa Basi zuri la Dar mpaka Mwanza msimu huu wa sikukuu 2022

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
Ni msimu wa likizo, unaweza kutaja pia la mkoa mwingine

Ila kwa mimi naomba kujuzwa la Dar to Mwanza, liwe la luxury safi na la uhakika,
 
Ni msimu wa likizo, unaweza kutaja pia la mkoa mwingine

Ila kwa mimi naomba kujuzwa la Dar to Mwanza, liwe la luxury safi na la uhakika,
Mwanza gari ni aliys star tu unafika mapema na gari zao ni nzuri.
 
Chukua allys bei 65000, happy nation bei 65000. Ukikosa kote kajirushe na Zuberi na kisesa bei 55,000.

Ukikosa hapo panda luxury za dodoma lala dodoma then kesho yake unga tu mwanza
Kisesa hamna kitu mkuu, bi mkubwa nilimkatia hapo ila alifika kesho.. alifika manyoni saa moja jioni akanipigia umenikatia kwenye gari bovu.
 
Hakuna Bus la kijinga kama hili ZUBERI
nakushauri usijaribu ndugu
Bora tafuta bus Jingine
Kuna mdogo wangu ameibiwa mzigo upo kwenye buti la Bus lao Jumapili Asubuhi
ajabu hakuna ushirikiano wowote waliompatia!

Hivi ni kweli hakuna chama cha kutetea abiria?

Uzembe wa mdogo wako haujafanya gari lisiwe zuri
 
Kisesa hamna kitu mkuu, bi mkubwa nilimkatia hapo ila alifika kesho.. alifika manyoni saa moja jioni akanipigia umenikatia kwenye gari bovu.

Huyo ni bi mkubwa wako. Na ndugu yangu kaja na kuondoka mwanza kupitia ilo basi na hakuna shida
 
Back
Top Bottom