Naomba kujuzwa Basi zuri la Dar mpaka Mwanza msimu huu wa sikukuu 2022

Nilipanda abood mara ya mwisho natoka dsm kwenda mwanza nilifika mwanza saa 8 sitosahau hio safari

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38] abood hajawahi kuwa na basi nzuri ktk ruti za masafa marefu,kuna mwaka dar kwenda mbeya nilifika saa tano usiku,wakati huo niliwahi fika mwanza kidogo kule nilikua naziona asubuhi ndio zinaingia,hapo ina maana zinalala shinyanga.
 
Abood ana gari mpya tupu tangu wiki iliyopita ruti ya Bukoba, Mwanza na
Arusha. Super luxury na choo ndani . Wahi ofisi mpya Shekilango. Gari za ukweli saa nne mwanza.
 
Hizi mwanza zipo kweli?
 
Zuberi na Kisesa wote kampuni moja hao na basi zao ni nzuri sana.....
Ila kama mtu wa kupenda mbio nenda na Ally's afu ukutane na DXS series..kuna hiyo DXS 360..Huo Moto unaomwagwa hapo ni balaaa.
Hivi kama mabus hayo ya Ally's Star yanadaiwa kukimbia sana lakini Mwanza uwa yanafika usiku kati ya saa 6:30 na 7:00 hayo mengine yasiyokimbia sana uwa yanafika saa ngapi?

Kingine mabus ya Ally's Star yanayotoka Dar kwenda Mwanza uwa hayaingii Magufuli Bus Terminal na badala yake uwa wanawataka abiria wapandie kituo cha Luguruni ambapo hakuna sehemu ya kujikinga kama pakitokea mvua au huduma za jamii kama sehemu ya haja ndogo n.k. Je, mamlaka husika wanaona jambo hilo ni sahihi?
 
Hakuna bus ambalo haliingii Magufuli terminal. Ni Lazima yaingie labda liwe limekodiwa ..

Ally's mara nyingi sana saa 4 - 5 usiku anaingia Mwanza...kuchelewa pia kupo maana kuna kuharibika pia sometimes.
 
Back
Top Bottom