Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Usawa huu huwezi kunipandisha kwenye gari la aina hiyo. Bora niahirishe tu safari.Ndiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usawa huu huwezi kunipandisha kwenye gari la aina hiyo. Bora niahirishe tu safari.Ndiyo
We jamaa unapenda sana ligi na ROCK CITYNaona Abood ya Dar-Moro hapo [emoji38][emoji38][emoji38].
Hizo Bus 15 ziko wapi? Mbona imeleta picha za kina Ally s wa siku zote naomba hizo zingine tuzione.
Mchagulie mtoa mada bus za kupanda sio kuleta mapovu ya kijinga..
Hao kina bright line Ni kundi moja na kured,tungis,tanzanite na wengine waliokimbia ushamba huko Mwanza.
Futilia niliyemquote utaelewa maana ya kupost hizo pichaUsawa huu huwezi kunipandisha kwenye gari la aina hiyo. Bora niahirishe tu safari.
... kama ukiwa huna hela ya Teksi au Gest unapofika Mwanza! 😅 😅 😅 👊Panda zuber wew utojutia
Vipi hapo dodoma mchana naweza kupata gari ya kwenda mwanza?
Au za iringa saa nne ,,,,au za mbeya saa 12 ,au songea saa 11Itabidi usubiri za kutoka morogoro ambazo upita asubuhi au za kutoka dar ambazo upita mchana
Nilichoandika nina uhakika nacho. Kuna bus lao linalojulikana kama 1A kawaida uwa haliingii Magufuli Bus Terminal. Nimepanda sana bus hilo na mara zote hakuna hata siku moja bus lilifika Mwanza kabla ya saa 6:30 usiku japo kwenye tiketi zao wanazotoa wanaandika muda wa kufika ni saa 4:30Hakuna bus ambalo haliingii Magufuli terminal. Ni Lazima yaingie labda liwe limekodiwa ..
Ally's mara nyingi sana saa 4 - 5 usiku anaingia Mwanza...kuchelewa pia kupo maana kuna kuharibika pia sometimes.
Me mwenyewe nasafiri na ally's tu, 1A huwa inatangulizwa kufungua geti nyegezi ila inaingia magufuli.Nilichoandika nina uhakika nacho. Kuna bus lao linalojulikana kama 1A kawaida uwa haliingii Magufuli Bus Terminal. Nimepanda sana bus hilo na mara zote hakuna hata siku moja bus lilifika Mwanza kabla ya saa 6:30 usiku japo kwenye tiketi zao wanazotoa wanaandika muda wa kufika ni saa 4:30
Sometimes haziingii...sio Ally's tu hata nyingine zinazoanzia Shekilango inategemea na upepo umekaajeMe mwenyewe nasafiri na ally's tu, 1A huwa inatangulizwa kufungua geti nyegezi ila inaingia magufuli.
Allys gari moja tu ndo inapakilia pale magufuli nyingine zote zinapakilia urafiki, mule magufur saiv zinaingia tu kulipa ushuru na kusepa.
Saiv hakuna gari isiyoingia magufuri mkuu
Ukilala dodoma kesho yake panda SATCOChukua allys bei 65000, happy nation bei 65000. Ukikosa kote kajirushe na Zuberi na kisesa bei 55,000.
Ukikosa hapo panda luxury za dodoma lala dodoma then kesho yake unga tu mwanza
Wasikutapeli Sogea Moro then Panda Nyahunge Double seat,iko Luxury,hutajutia,utafika uko happy Nyegezi Hadi NataNi msimu wa likizo, unaweza kutaja pia la mkoa mwingine
Ila kwa mimi naomba kujuzwa la Dar to Mwanza, liwe la luxury safi na la uhakika,
Hao wapuuzi Abood ndio staki kuwasikia kabisa[emoji38][emoji38] abood hajawahi kuwa na basi nzuri ktk ruti za masafa marefu,kuna mwaka dar kwenda mbeya nilifika saa tano usiku,wakati huo niliwahi fika mwanza kidogo kule nilikua naziona asubuhi ndio zinaingia,hapo ina maana zinalala shinyanga.
Nilikuwa nataman kuandika kitu kuhusu Happy Nation nikasita,mimi nimepanda wiki tatu nyuma,gari ilikuwa imechakaa alafu hata charging system hakuna,tena unalipia nauli ya semi luxury.Nimeona wadau mmelitaja happy nation, kuna jamaa yangu alipanda hilo gari wiki iliyopita tu alifika mwanza kesho yake asbh,
Wanauza jina tu ila ni choka mbayaNilikuwa nataman kuandika kitu kuhusu Happy Nation nikasita,mimi nimepanda wiki tatu nyuma,gari ilikuwa imechakaa alafu hata charging system hakuna,tena unalipia nauli ya semi luxury.