Naomba kujuzwa Basi zuri la Dar mpaka Mwanza msimu huu wa sikukuu 2022

Naomba kujuzwa Basi zuri la Dar mpaka Mwanza msimu huu wa sikukuu 2022

Mnazi kazini
emoji28.png
Mcoconut, noma sana
Zuberi na Kisesa wote kampuni moja hao na basi zao ni nzuri sana.....
Ila kama mtu wa kupenda mbio nenda na Ally's afu ukutane na DXS series..kuna hiyo DXS 360..Huo Moto unaomwagwa hapo ni balaaa.
Kuna DRG, "la petrol"
 
Huku Kuna Airbus nyingi.... tofauti na mbeya
Umejileta yaani mabasi ambayo huwa unatulingishia kumbe yalipiga route Moja wakakuta watu wanaingia na mbuzi,ndama,kuku,michembe na upuuzi Kama huo wakahama route 😜😜

Kured Hakuna
Tungis Hakuna
Phoenix Hakuna
Tanzanite Hakuna
😆😆😆😆😆😆😆

Maskini Yaani mumebakia na malipo yenu Yale chakavu ya Miaka yote akina Ally,zuberi,kusema na mavyuma mengine chakavu Kama hayo.

Kama Kuna Airbus mwambie mtoa mada apande Airbus 🏃🏃

Mbeya hawavumi Ila wamo
👇
 
Attachments

  • 20221203_224119.jpg
    20221203_224119.jpg
    74 KB · Views: 22
  • 20221203_081348.jpg
    20221203_081348.jpg
    64 KB · Views: 23
  • 20221202_051303.jpg
    20221202_051303.jpg
    447.5 KB · Views: 21
  • 20221202_051300.jpg
    20221202_051300.jpg
    552.4 KB · Views: 19
  • Screenshot_20221203-224053.png
    Screenshot_20221203-224053.png
    707.6 KB · Views: 19
Abood ana gari mpya tupu tangu wiki iliyopita ruti ya Bukoba, Mwanza na
Arusha. Super luxury na choo ndani . Wahi ofisi mpya Shekilango. Gari za ukweli saa nne mwanza.
Hakuna Abood ya Mwanza wewe pimbi,hata hizo za Bukoba Ni namba D ,namba E amepeleka Arusha na Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.
Soma hiyoo 👇
 
Attachments

  • 20221205_100826.jpg
    20221205_100826.jpg
    491.1 KB · Views: 21
Unetupa kaz kubwa sana ya kidalali unataka kununua bus? Au kwenda kijijini usukumani!
 
Umejileta yaani mabasi ambayo huwa unatulingishia kumbe yalipiga route Moja wakakuta watu wanaingia na mbuzi,ndama,kuku,michembe na upuuzi Kama huo wakahama route [emoji12][emoji12]

Kured Hakuna
Tungis Hakuna
Phoenix Hakuna
Tanzanite Hakuna
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Maskini Yaani mumebakia na malipo yenu Yale chakavu ya Miaka yote akina Ally,zuberi,kusema na mavyuma mengine chakavu Kama hayo.

Kama Kuna Airbus mwambie mtoa mada apande Airbus [emoji125][emoji125]

Mbeya hawavumi Ila wamo
[emoji116]
We jamaa kweli hamnazo .....sihitaji kukuletea mapicha Mimi ..ila mwanza ni multi transport city.kuna zaidi ya bus 15 za mwanza to dar..unaposema tanzanite imekufa ,,, tanzanite,dar lux zimeacha ruti nchi nzima sio mwanza tu .
Abood pekee ana magari zaidi ya matano ruti ya dar na morogoro,,,bado magari ya dodoma ni mengi,..mtu anakuwa na option apande Hadi Dom then apande lingine la dar ,au aende Hadi Moro ,au apande direct Hadi dar au apande ndege ..
20221205_082441.jpg
20221205_082414.jpg
20221204_154426.jpg
20221126_171513.jpg
20221126_171415.jpg
 
We jamaa kweli hamnazo .....sihitaji kukuletea mapicha Mimi ..ila mwanza ni multi transport city.kuna zaidi ya bus 15 za mwanza to dar..unaposema tanzanite imekufa ,,, tanzanite,dar lux zimeacha ruti nchi nzima sio mwanza tu .
Abood pekee ana magari zaidi ya matano ruti ya dar na morogoro,,,bado magari ya dodoma ni mengi,..mtu anakuwa na option apande Hadi Dom then apande lingine la dar ,au aende Hadi Moro ,au apande direct Hadi dar au apande ndege ..
View attachment 2436238View attachment 2436239View attachment 2436240View attachment 2436242View attachment 2436243
Naona Abood ya Dar-Moro hapo 😆😆😆.

Hizo Bus 15 ziko wapi? Mbona imeleta picha za kina Ally s wa siku zote naomba hizo zingine tuzione.

Mchagulie mtoa mada bus za kupanda sio kuleta mapovu ya kijinga..

Hao kina bright line Ni kundi moja na kured,tungis,tanzanite na wengine waliokimbia ushamba huko Mwanza.
 
Naona Abood ya Dar-Moro hapo [emoji38][emoji38][emoji38].

Hizo Bus 15 ziko wapi? Mbona imeleta picha za kina Ally s wa siku zote naomba hizo zingine tuzione.

Mchagulie mtoa mada bus za kupanda sio kuleta mapovu ya kijinga..

Hao kina bright line Ni kundi moja na kured,tungis,tanzanite na wengine waliokimbia ushamba huko Mwanza.
Ww jamaa mshamba sana alafu unajiona mjanja, hiyo njia ya darling to mwz ni ngumu wanaiweza wababe tu Kama ally's.. huyu tungi's hana gari ya maana zaid ya screpa tupu, sasa kwa akili yako unafikiri abiria ni wajinga wapande hayo magonga nyundo waache vitu vya happy nation,zuber au ally's?

Ni halali tung's kukimbia hiyo njia, alfu alfu hao dar lux au tanzanite kampuni imekufa wameuza mpaka office.
 
Acha umama wewe kijana. Panda gari lolote hata semi! Watu wa mwanza ni wavumilivu kwa hali yote.

Ukifika buhongwa shuka tunywe maliboto.
Hahaha au twende nae Bulale akatafute mboga mboga....Anyways aache ubishoo atafute gari zuri la wastani aende otherwise achukue ndege tu.
 
Back
Top Bottom