Naomba kujuzwa bei ya kipimo cha VVU

Nitauliza mahali nitapokinunua mkuu na kuna tutorials nimeziona youtube na pdf zipo google mkuu nitaelewa tu.
Huitaji youtube.

Toa damu weka kwenye kile kipimo mimina maji yake matone mawili.

Subiri sekunde kadhaaa. Mstari mmoja ukiwa kwenye C tunasema u made it safe ....ukipata miwili mmoja kwenye C na mwingine kwenye 1/2 basi ....wahi Hospital kuanza Dozi mapema.

Oh wait, Ila kabla ya kupima muombe sana Mungu atende maajabu ili uvuke bahari kwa kutembea.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Shukrani sana mkuu
 
Vipi na Hepatitis, Syphillis, Gonorrhea, utapima? Maana naona mnafikiri tatizo ni HIV tu.
 
Tabu yote ya Nini nenda CTC tu
 
Vipi na Hepatitis,Syphillis,Gonorrhea, utapima? maana naona mnafikiri tatizo ni HIV tu
Vingine vinatiba hivyo HIV ni noma mkuu. Na usijipe hofu sana na hayo mengine yana muda wake wa kupima pia.
 
Nipe maelekezo vizuri mkuu usinitishe sasa.
 
Vile vipimo viko fresh sana kuliko kupanga foleni hospital
Hapo ndio umeshapima unasuburia majibu nesi anaita,winessj,unakurupuka mbio mbio unajua tayari,ile unafika dirishani anaguna halafu anakwambia subiri kidogo kakae kwanza,hapo kwenye kusubiria sasa ndio shughuli,moyo unausikia kama unataka kutokea shingoni,halafu anakuita anakwambia uko salama,wewe hapo kijasho kinatoka kila kona...
 
Mambo ya hospitalin kama hujiamini walai moyo unaweza chomoka nakumbuka nilishaga wah kumgegeda demu mmoja hivi nilijihisi tofauti baada kama myezi mitano nikawa nimepata kahoma ikawa hakuna namna mpaka naenda kupima nilikuwa sina imani mpaka napata majibu sikuamini kwanzia siku iyo sijawahi kosa vipimo geto na ndomu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…