Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huitaji youtube.Nitauliza mahali nitapokinunua mkuu na kuna tutorials nimeziona youtube na pdf zipo google mkuu nitaelewa tu.
Nasikia ukimwi huonekana baada ya miezi mitatuKujipima mwenyewe safi.....hospital kuna formalities nyingi sana......
Na sio kujipima mwenywe kile kipimo unakua nacho stand by....kazi ikija ghetto unaipima kwanza kabla ya kuanza kazi
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kama wakati unapima UKIMWI haujaonekana then hauwezi kuambukiza...so you are free to proceed safely.Nasikia ukimwi huonekana baada ya miezi mitatu
Siku hizi wanaopima huko ni wachache sana, hakuna foleni hadi raha.Vile vipimo viko fresh sana kuliko kupanga foleni hospital
Shukrani sana mkuuHuitaji youtube.
Toa damu weka kwenye kile kipimo mimina maji yake matone mawili.
Subiri sekunde kadhaaa. Mstari mmoja ukiwa kwenye C tunasema u made it safe ....ukipata miwili mmoja kwenye C na mwingine kwenye 1/2 basi ....wahi Hospital kuanza Dozi mapema.
Oh wait, Ila kabla ya kupima muombe sana Mungu atende maajabu ili uvuke bahari kwa kutembea.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Tabu yote ya Nini nenda CTC tuHabari wakuu,
Naomba kujua bei ya kipimo cha VVU kile cha kujipima mwenyewe, sijui kisayansi kinaitwaje nadhani wajuvi mtakua mmenielewa.
Na je kinahitajika hicho tu au kuna viambata vingine. Nikipata maelekezo jinsi ya kukitumia nitashukuru sana.
Natanguliza shukrani.
Vingine vinatiba hivyo HIV ni noma mkuu. Na usijipe hofu sana na hayo mengine yana muda wake wa kupima pia.Vipi na Hepatitis,Syphillis,Gonorrhea, utapima? maana naona mnafikiri tatizo ni HIV tu
Shukran mkuuOngea na nesi, mm huku napata vinne kwa Khaki. (Buku tano)
Nipe maelekezo vizuri mkuu usinitishe sasa.Hivi unajua madhara yakujipima mwenyewe!! Vipi kipimo kikisoma +ve! Pia unajua abc zakufata?? Maana ukipima lazima majibu yatoke ndani ya dakika 5- 20, ndiyo kinatoa majibu sahihi! Sasa wewe pima,halafu nenda,kaa hadi masaa mawili urudi kusoma kipimo,kitakupa majibu ambayo hukuyatalajia! Kipimo chema mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kupima kabla ya game ndugu yangu.Tabu yote ya Nini nenda CTC tu
Kama ndo katoka kuambukizwa utajuaje?Ni kupima kabla ya game ndugu yangu.
Mkuu kuwa makini akiwa kaambukizwa juzi hata ukipima hutaona kama ana wakawakaNi kupima kabla ya game ndugu yangu.
Sasa iyo mkuu basi ilipangwa niupate tu, hizo kama kama zikiwa nyingi huwez fanya kitu sasaKama
Kama ndo katoka kuambukizwa utajuaje?
Hapo ndio umeshapima unasuburia majibu nesi anaita,winessj,unakurupuka mbio mbio unajua tayari,ile unafika dirishani anaguna halafu anakwambia subiri kidogo kakae kwanza,hapo kwenye kusubiria sasa ndio shughuli,moyo unausikia kama unataka kutokea shingoni,halafu anakuita anakwambia uko salama,wewe hapo kijasho kinatoka kila kona...Vile vipimo viko fresh sana kuliko kupanga foleni hospital
Waganga njaa mpo kila mahali...hivo vipimo vinauzwa 4k tena hapo umepigwa.Elfu 15 nicheki 0712505049