Asante mkuu. Kuna mtu kaniambia elfu 40 nikashtuka sana
Nime nunua za sindano 6 laki na 20Inategemea na aina ya gar...mi nanunua plug moja elfu 30 na zinakaa plug nne. Jumla ni Tsh 120,000/=
Mimi
Nime nunua za sindano 6 laki na 20
Ni kweli Mkuu..me nipo arusha huku za nissan nilinunua 35k kwa moja...zina mwaka Na miezi saba Sasa.tulizikagua juzi juzi utafikiria zimefungwa jana na nimeshasafiria safari ndefu mf Arusha to Dar.....me nashangaa mtu ananunua gari mfano milioni 8 then anafunga plug za buku mbili..Inategemea na aina ya gar...mi nanunua plug moja elfu 30 na zinakaa plug nne. Jumla ni Tsh 120,000/=
Inategemea na aina ya gar...mi nanunua plug moja elfu 30 na zinakaa plug nne. Jumla ni Tsh 120,000/=
Mkuu umenunua duka gani Arusha? Nahitaji za Suzuki originalNi kweli Mkuu..me nipo arusha huku za nissan nilinunua 35k kwa moja...zina mwaka Na miezi saba Sasa.tulizikagua juzi juzi utafikiria zimefungwa jana na nimeshasafiria safari ndefu mf Arusha to Dar.....me nashangaa mtu ananunua gari mfano milioni 8 then anafunga plug za buku mbili..
Siku watu wakijua umuhimu wa vifaa vya magari yao nadhan wataachana na hii kasumba ya kununua vitu fake genuine spark plug ya Toyota bei inaanzia 15000 hapa kutegemeana na aina ya plug chini ya hapo hakuna plug hapoNi kweli Mkuu..me nipo arusha huku za nissan nilinunua 35k kwa moja...zina mwaka Na miezi saba Sasa.tulizikagua juzi juzi utafikiria zimefungwa jana na nimeshasafiria safari ndefu mf Arusha to Dar.....me nashangaa mtu ananunua gari mfano milioni 8 then anafunga plug za buku mbili..
Nimenunua duka moja lipo Sheikh Amri Abeid stadium kwa upande wa nyuma kama unaeleke CCM mkoa endapo unatoka kwenye yale mataa ya stendi......jamaa anaitwa Saka...Jirani yake kuna duka linaitwa Denso...nao wana bidhaa genuine za magari karibu yote ya kijapan...Mkuu umenunua duka gani Arusha? Nahitaji za Suzuki original
Siku watu wakijua umuhimu wa vifaa vya magari yao nadhan wataachana na hii kasumba ya kununua vitu fake genuine spark plug ya Toyota bei inaanzia 15000 hapa kutegemeana na aina ya plug chini ya hapo hakuna plug hapo
Na juzi kati tulikua na semina hasa sisi tunaouza service spare inaonekana watu wengi sana hasa wamiliki wa magari wanapotoshwa sana na mafundi wao na wengi wanawaamini mafundi kuliko hata mke/ Mme wake unakuta fundi anamwambia mmiliki may be oil tunatakiwa tuweke genuine ambayo inatakiwa kwenye gari yako na anamtajia kabisa bei yake lakini kosa akijichanganya akashindwa kununua hicho kifaa mmiliki na akamoa fund hapo hapo ndo unatokea upenyo wa kuwekea fake na ambayo haiendan na gari yake kisa tu apate cha juu.Ni kweli....plug ikishakuwa chini ya 15000 mara nyingi ni feki. .zitakusogeza miezi kadhaa gari linaanza kukosa nguvu
Siku watu wakijua umuhimu wa vifaa vya magari yao nadhan wataachana na hii kasumba ya kununua vitu fake genuine spark plug ya Toyota bei inaanzia 15000 hapa kutegemeana na aina ya plug chini ya hapo hakuna plug hapo
Atalia kilio cha mbwa mwizi.Nunua zile za buku saba saba ndio nzuri og mkuu
Na kweli atalia sana.....Atalia kilio cha mbwa mwizi.
Zipo za elfu 2.mpaka 8000
Za NISSAN zile zenye sindano moja ni 30k mpaka 35k NGK au DensoDah ya nissan moja nilinunu elfu 60
Kweli kabisaa mkuu, ila watu hua wanaweka mpk brake pad used hapo ndio hua wananichanganya zaidi.Na kweli atalia sana.....
Kuna kitu kinashangaza sana....
Mtu ananunua gari mathalani milioni 8, halafu anaweka plug za buku 5.....huu ni utaahira uliopitiliza..