Naomba kujuzwa bei ya Spark Plug

Naomba kujuzwa bei ya Spark Plug

Carina

Senior Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
194
Reaction score
70
Wanajamii naombeni kujua bei halisi ya Spark Plug original kabisa Dar es Salaam kwa gari ndogo kama Carina Ti hivi

Asante
 
Inategemea na aina ya gar...mi nanunua plug moja elfu 30 na zinakaa plug nne. Jumla ni Tsh 120,000/=
Ok asante mkuu angalau nimepata kauhakika fulani hivi
 
Inategemea na aina ya gar...mi nanunua plug moja elfu 30 na zinakaa plug nne. Jumla ni Tsh 120,000/=
Ni kweli Mkuu..me nipo arusha huku za nissan nilinunua 35k kwa moja...zina mwaka Na miezi saba Sasa.tulizikagua juzi juzi utafikiria zimefungwa jana na nimeshasafiria safari ndefu mf Arusha to Dar.....me nashangaa mtu ananunua gari mfano milioni 8 then anafunga plug za buku mbili..

Mkuu umenunua duka gani Arusha? Nahitaji za Suzuki original
 
Siku watu wakijua umuhimu wa vifaa vya magari yao nadhan wataachana na hii kasumba ya kununua vitu fake genuine spark plug ya Toyota bei inaanzia 15000 hapa kutegemeana na aina ya plug chini ya hapo hakuna plug hapo
 
Nimenunua duka moja lipo Sheikh Amri Abeid stadium kwa upande wa nyuma kama unaeleke CCM mkoa endapo unatoka kwenye yale mataa ya stendi......jamaa anaitwa Saka...Jirani yake kuna duka linaitwa Denso...nao wana bidhaa genuine za magari karibu yote ya kijapan...
Pia waweza kwenda Arusha Art...
 
Ni kweli....plug ikishakuwa chini ya 15000 mara nyingi ni feki. .zitakusogeza miezi kadhaa gari linaanza kukosa nguvu
Siku watu wakijua umuhimu wa vifaa vya magari yao nadhan wataachana na hii kasumba ya kununua vitu fake genuine spark plug ya Toyota bei inaanzia 15000 hapa kutegemeana na aina ya plug chini ya hapo hakuna plug hapo
 
Ni kweli....plug ikishakuwa chini ya 15000 mara nyingi ni feki. .zitakusogeza miezi kadhaa gari linaanza kukosa nguvu
Na juzi kati tulikua na semina hasa sisi tunaouza service spare inaonekana watu wengi sana hasa wamiliki wa magari wanapotoshwa sana na mafundi wao na wengi wanawaamini mafundi kuliko hata mke/ Mme wake unakuta fundi anamwambia mmiliki may be oil tunatakiwa tuweke genuine ambayo inatakiwa kwenye gari yako na anamtajia kabisa bei yake lakini kosa akijichanganya akashindwa kununua hicho kifaa mmiliki na akamoa fund hapo hapo ndo unatokea upenyo wa kuwekea fake na ambayo haiendan na gari yake kisa tu apate cha juu.

Ni hivyo hivyo hata kwenye spark plug kwa wanaotumia magari ya Toyota genuine plug ya kichwa kimoja na viwili bei inaanzia 15000 lakn ukifika muuzaji akakwambia bei tofaut na hiyo au wewe ukamtingisha kumpa pungufu ya hapo na akachukua hiyo sio genuine kimbia tafuta maduka mengine na kwa wengine hawa wanaotumia magari ya Nisan Suzuki BMW, etc bei za spark plug zimesimama sana sana kuanzia 30k+
 
Uzuri wamiliki/mafundi hua wanaambiwa kabisa feki bei hii,org bei hii so akichagua feki basi acha apambane na hali yake.
Siku watu wakijua umuhimu wa vifaa vya magari yao nadhan wataachana na hii kasumba ya kununua vitu fake genuine spark plug ya Toyota bei inaanzia 15000 hapa kutegemeana na aina ya plug chini ya hapo hakuna plug hapo
 
Atalia kilio cha mbwa mwizi.
Na kweli atalia sana.....
Kuna kitu kinashangaza sana....
Mtu ananunua gari mathalani milioni 8, halafu anaweka plug za buku 5.....huu ni utaahira uliopitiliza....

Plug original za Toyota Denso haipungui elfu 20....
Sasa jiulize kutoka 20k mpaka elfu 5....

Ikumbukwe plug ndiyo inayofanya jiko la gari liwake

Kuna spea unaweza ukajibana ukaweka feki lakini si spea za sehemu nyeti.
 
Na kweli atalia sana.....
Kuna kitu kinashangaza sana....
Mtu ananunua gari mathalani milioni 8, halafu anaweka plug za buku 5.....huu ni utaahira uliopitiliza..
Kweli kabisaa mkuu, ila watu hua wanaweka mpk brake pad used hapo ndio hua wananichanganya zaidi.
 
Back
Top Bottom