Naomba kujuzwa bei ya Spark Plug

Nipe brand name ya hizo shock up unazonunua, je huwa unakaa nazo muda gani?
 
Ata tairi haifai kuweka used! Napenda nikiweka tairi iwe mpya ya iliyotengenezwa mwaka huo au mwaka uliopita.
 
Hahah hamna noma mzee baba,OEM ni expensive so napendelea aftermarket ingawa sometimes inakua viceversa.
 
Sorry, hii brand ya KYB zinapatikana madukania au mpaka uagize..?
 
Kwenye shockup hapo hizo unazonunua sio genuine mkuu hizo ni from China genuine shockup kwa hizo 4 ulitakiwa kulipia kama milioni 3 kasoro
Mkuu ball joint za kirikuu Cabreta zinauzwaje?
 
Nipe brand name ya hizo shock up unazonunua, je huwa unakaa nazo muda gani?
Nadhani ni KYB hizi!



Niliiweka February, ina miezi 7 kama sio 8 ila iko freshi sana. Mwanzo nilipigwa zile za made in China nilitia November kufikia January kelele zikawa sio za kitoto huko chini...Guju Guju Guju ikabidi nibadilishe.

Hio niliotia ndio mpaka sahivi haina kipengele.

 
Inategemea ni ya gari gani..mm Nina Fuga Ila nimefunga injini 1G Bei @50,000
share with us, please.

Ni chngamoto gani kubwa ulikutana nayo ikakulazimu kuweka engine ya toyota kwenye nissan?

Je, ulibadilisha computer ya gari?
 
Dah kweli tunatofautiana, taili Used, mimi naona ndiyo risk bora Shokap na vitu vingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…