Thesis
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,804
- 3,113
Nipe brand name ya hizo shock up unazonunua, je huwa unakaa nazo muda gani?Mie mipira napointi kwa sasa mwanzo nilinunua piru ila nikaona najila sana. Maana sioni tofauti kabisa ya kiatu used na kipya.
Braza, gari yangu naipenda ila kimsingi siwezi nunua shockup 650k!!! Hizo mbanga zinawahusu wale wa Nissan brand. Sikutaka hizo tabu na ndio maana nilichagua gari economical kwangu.
Gas filled Durable shockup ni 85K kwa moja. Nikinunua pair nasahau!