Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
Guys, nina ndugu anatafuta kiwamja 25 X 30 (750m²). Alipendekeza kinyerezi kuwa patamfaa. Katika kumsaidia kutafuta nikapata agency flani wakaniambia 65,000 per m². Meaning 48,750,000 kwa size anayotaka.
Sasa kabla hatuja close deal nafanya due diligence nione kama hii bei ni thaman halisi ya viwanja maeneo hayo au ni kanjanja.
Eneo ni kinyerezi mwisho. Hiyo bei wamesema ni pamoja na hati sina uhakika kama hati inaweza fikia milioni 2 au zaidi.
Wajuzi na wazoefu mje tafadhali.