Kwa maelezo yao walisema ni jirani na stand ya kinyerezi mwisho, tumepanga ku visit this friday tupaone.Kinyerezi mwisho kuna viwanja pale bado vya kupima, isije kuwa ni kifuru huko mabonde na miinuko kama yote. Ila kwa Kinyerezi ninayo ijua mimi kwa sasa ukipata kiwanja bei yake ni mkasi!
Kwa maelezo yao walisema ni jirani na stand ya kinyerezi mwisho, tumepanga ku visit this friday tupaone.
Labda ndanindani hukoKwa maelezo yao walisema ni jirani na stand ya kinyerezi mwisho, tumepanga ku visit this friday tupaone.
Mkuu kifuru nasikia ni masaki mpya?Kinyerezi Mwisho kuna viwanja pale bado vya kupima, isije kuwa ni kifuru huko mabonde na miinuko kama yote. Ila kwa Kinyerezi ninayo ijua mimi kwa sasa ukipata kiwanja bei yake ni mkasi!
Kina ukubwa gani mkuu?kipo kimoja huko kitunda...ni 25 kwa 30 ila kina hitaji 23m kama itakupendeza nitafute tufanye biashara iko kiwanja akina udalali...
View attachment 2866913
na akitokuwa usumbufu wa kubadilisha umiliki. ukinunua moja kwa moja unajisajili kwa majina yako kama mmiliki wa Awali...!
View attachment 2866912
Aah wapi kuna mchanganyiko mkubwa wa makazi bora na holelaMkuu kifuru nasikia ni masaki mpya?
25*30 ni kikubwa unajenga nyumba kubwa na parking kidogo ina baki...!!!Kina ukubwa gani mkuu?
sawa nakutafutia wateja mkuu ila utanipoza? Wewe si ndo mmiliki?25*30 ni kikubwa unajenga nyumba kubwa na parking kidogo ina baki...!!! View attachment 2868178
hiki kiwanja hakina udalali... biashara utafanya na mmiliki halali.
View attachment 2868180
Ntumie namba yako PM mkuu.kipo kimoja huko kitunda...ni 25 kwa 30 ila kina hitaji 23m kama itakupendeza nitafute tufanye biashara iko kiwanja akina udalali...
View attachment 2866913
na akitokuwa usumbufu wa kubadilisha umiliki. ukinunua moja kwa moja unajisajili kwa majina yako kama mmiliki wa Awali...!
View attachment 2866912
nipe namba zako inbox nikuunganishe na dalali mzoefu wa kinyerezi huko.Guys, nina ndugu anatafuta kiwamja 25 X 30 (750m²). Alipendekeza kinyerezi kuwa patamfaa. Katika kumsaidia kutafuta nikapata agency flani wakaniambia 65,000 per m². Meaning 48,750,000 kwa size anayotaka.
Sasa kabla hatuja close deal nafanya due diligence nione kama hii bei ni thaman halisi ya viwanja maeneo hayo au ni kanjanja.
Eneo ni kinyerezi mwisho. Hiyo bei wamesema ni pamoja na hati sina uhakika kama hati inaweza fikia milioni 2 au zaidi.
Wajuzi na wazoefu mje tafadhali.
naomba namba zake pm25*30 ni kikubwa unajenga nyumba kubwa na parking kidogo ina baki...!!! View attachment 2868178
hiki kiwanja hakina udalali... biashara utafanya na mmiliki halali.
View attachment 2868180