Naomba kujuzwa biashara ya kufanya Zanzibar

Kama utaweza kufikisha mchele grade 1 utapiga hela sana maana wazenji wanakula sana wali
Huku maporini hua tunapambana na wapemba kukusanya mchele na wanamwaga noti vibaya mno.
Cha muhim uwe ule ulionyooka piru
.
 
Zenji hawana mazao wala vyakula kule ni dili bei juu sana hata matunda...Zenji mavazi adimu sana japo kuna bandari..
Biashara zote fresh....Ila usifanye ya bidhaa za electronic kama Tv, pasi ,friji manaa wanavyo vya kutosha na bei che
 
Kama utaweza kufikisha mchele grade 1 utapiga hela sana maana wazenji wanakula sana wali
Huku maporini hua tunapambana na wapemba kukusanya mchele na wanamwaga noti vibaya mno.
Cha muhim uwe ule ulionyooka piru
.
Lakini naona hapa wazenji wanakula walinila wanakula mchele unaoitwa mapembe, mchele wa ovyo sana, ila hiyo grade unaweza kuuza mahotelini
 
Chukua tv pasi na heater peleka dar utapiga hela mkuu.
 
Shida ni kibali mkuu,
Ingekua rahisi kila mtu angekuwa anauza pombe Zanzibar...
Wengi wamejaribu wameshindwa.
Nimemjibu swali issue za kibali atajua yeye, coz hamna biashara kubwa utafanya bila kulipa kodi au leseni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…