Naomba kujuzwa changamoto na uzuri wa gari aina ya Nissan Dualis

Hongera kijana wa miaka 41.

dah watu mnafukua makaburi aisee, mmenishambulia kwa matusi kule nimewakimbia nakuja hapa kuomba ushauri wa aina iyo ya gari ili mzee akinipa ela nikavute gari nilie bata mjini bado mnanifata na uku, watanzania wakiamua kukukalia kooni utatamani ukimbie nchi
 
Kijana na wewe Jenga ili mwanao arithi au atarithi nini
Bei ya dualis unajenga hi
thumbnail.png
 
Mpigie huyu jamaa 0753778699 nadhan kwa dar ye ndo expert mzur wa dualis atakupa ushaur wote
Ana ofisi pale mapambano shule naonaga kwake ndo dualis zinajaaga kwa matengenezo na service
 
dah walimwengu mbona mnanisakama sana, nimesha waachia uzi wenu kule maana matusi ni mengi sana
Mzee unazingua...we hela ya urith unanunua gari kweli, wewe utaacha nin urithi?
 
dah watu mnafukua makaburi aisee, mmenishambulia kwa matusi kule nimewakimbia nakuja hapa kuomba ushauri wa aina iyo ya gari ili mzee akinipa ela nikavute gari nilie bata mjini bado mnanifata na uku, watanzania wakiamua kukukalia kooni utatamani ukimbie nchi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa pesa yenyewe si ataitia kiberiti mapema ?? ,Hela ya urithi unawaza kununua gari badala ya kufanya mambo ya maana!!
Hahaha nimechoka mkuu kumbe Mshua ake alikuwa sahihi anajuq hapa hamna kitu!!!!
 
Nimefadhaika sana, yaani nimewakimbia kwenye ule uzi mmekuja kunishambulia na uku

Usifadhaike moyoni mwako mkuu, kumbuka hapa hakuna mtu anaekufaham. Faida unayoipata ni ya kuambiwa ukweli ili ikusaidie kubadilika.

Dualis sio gari mbaya inategemea na matumizi na matunzo yake kama service n.k

Kwani mzee ameshaanza kuonyesha dalili za kukukumbuka kwenye ufalme wake?

Mimi ningekya wewe nisingembughudhi kabisa Mzee kumuomba pesa, ningejikita kwenye kumsaidia anapotaka kuwekeza, ningetafuta habari za kina ma kutosha nikamshauri hasi akawa na imani na mimi kusimamia biashara zake.

Hapo pesa za Dualis na mambo yako zingekuja zenyewe bila kugombana na Mzee.
 
mkuu ela ukiipata unatakiwa uitumie muda huo huo usipo itumia watakuroga ufe uiache walimwengu
 
Back
Top Bottom