Naomba kujuzwa chimbo la dawa za jumla

Naomba kujuzwa chimbo la dawa za jumla

MEGATRONE

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
1,140
Reaction score
2,141
Habarini members,

Nilikuwa naomba tupeane connection ya chimbo la kununua dawa( dawa za binadamu)kwa bei ya jumla kwa ajili ya pharmacy! Either Kariakoo au popote pale!

Natanguliza shukurani
 
Habarini members,
Nilikuwa naomba tupeane connection ya chimbo la kununua dawa( dawa za binadamu)kwa bei ya jumla kwa ajili ya pharmacy! Either kariakoo au popote pale!
Natanguliza shukurani
Nenda Manzese darajani, pembeni ya MKWERE BAR kuna duka kubwa mnoo wanauza dawa bei ya Jumla, bei rahisi hadi utashangaa
 
Karibu Dawa Mkononi. Utapata huduma nzuri unaweza kuweka order yako kwa hii number 0747665664.
IMG-20231115-WA0006.jpg
IMG-20231115-WA0005.jpg
 
Mkuu kwasasa niko mbali na hapo, ninafanya utaratibu nitumiwe namba huenda ikawa baadae kidogo.

Naomba unitumie txt pm ili nikukumbuke au kama unaweza kuni mention jioni nitakuwa nimeipata
Nakutext pm
 
Asikupange mtu. Duka la dawa la bei nafuuu kabisa ni CORE PHARMACY kariakoo. Ila linakuaga busy balaa ujipange kukaa kifoleni kidogo.


Nishanunua sana hapo

Taarifa zao

Core Phamarcy
0713 774 746
chrome_qrcode_1700221836037.jpg
 
Back
Top Bottom