Yaduniani Haya
New Member
- May 9, 2019
- 2
- 1
Jamani nina ndugu yangu ana tatzo la kukosa usingizi, ametumia dawa za usingizi hadi basi.
Msaada please
Msaada please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani na ndg yangu ana tatzo la kukosa usingizi, ametumia dawa za usingizi hadi basi.
Msaada please
Ogea maji ya chumvi kabla ya kulalaJamani na ndg yangu ana tatzo la kukosa usingizi, ametumia dawa za usingizi hadi basi.
Msaada please
Nipo nje ya mada mkuu. Nina jambo nahitaji msaada wako kuhusu ndoto.
Atafute kazi ,akiwa na kazi bila shaka muda wa kulala ukifika lazima alale na usingizi apate ili awahi kuamka.Jamani na ndg yangu ana tatzo la kukosa usingizi, ametumia dawa za usingizi hadi basi.
Msaada please