Naomba kujuzwa dawa ya michirizi

Naomba kujuzwa dawa ya michirizi

Habar zenu. mwenye kujua dawa ya kutoa michiriz mwilini kwa haraka tafadhali maana inanikera na sijui nipake kitu gani itoke , inaninyima confidence kabisaa

Kama dermatologist yupo anisaidie ushauri , stretch marks zinaondoa mvuto jaman
Alooooooooooo.
hiyo michirizi ndio utamu utamu wenyewe.
inaongeza ashki ashki
 
Habar zenu. mwenye kujua dawa ya kutoa michiriz mwilini kwa haraka tafadhali maana inanikera na sijui nipake kitu gani itoke , inaninyima confidence kabisaa

Kama dermatologist yupo anisaidie ushauri , stretch marks zinaondoa mvuto jaman
Chukua mdalasini WA unga changnya na mafuta ya nazi na mafuta ya mzaituni uwek na vinegar jisugue asubuhi na jioni itakusaidia
 
Back
Top Bottom