Naomba kujuzwa dawa ya michirizi

Naomba kujuzwa dawa ya michirizi

Nauza vipodozi na Naandika kwa uzoefu

Michirizi haiiishi kwa mafuta pekee
Yaani utamalizia huko pesa zako..

Michirizi hufifia tu..

Fanya mazoezi
Fanya scrub
Paka raw shea butter
Au celtone Body oil
Bio oil original pia inaweza kusaidia kufifisha.

Pia siyo ugonjwa huo..mie na enjoy na yangu..
 
Back
Top Bottom