Naomba kujuzwa Engine Oil na Gear Box Oil nzuri kwa gari ndogo aina ya Honda Fit

Naomba kujuzwa Engine Oil na Gear Box Oil nzuri kwa gari ndogo aina ya Honda Fit

Hizo hazipo mkuu nadhan ni kwa vile bei zake zipo juu mno ndo maana watu wanakwepa kuziweka dukani
Ni kweli bei zake lazima ziwe juu maana oil yenyewe inamwagwa baada ya kilometa elfu 20 sio mchezo, wa TZ wanavyopenda vya bei chee hiyo hawaiwezi
 
Ni kweli bei zake lazima ziwe juu maana oil yenyewe inamwagwa baada ya kilometa elfu 20 sio mchezo, wa TZ wanavyopenda vya bei chee hiyo hawaiwezi
Hiyo ni dhana ya biashara tu mkuu hakuna oil yoyote duniani unayobadili kila baada ya km 20,000 nasema tena oil hiyo haipo
 
Hiyo ni dhana ya biashara tu mkuu hakuna oil yoyote duniani unayobadili kila baada ya km 20,000 nasema tena oil hiyo haipo
Siwezi kukupinga unachoeleza mkuu, inaweza kuwa kweli au isiwe kweli. Hata hivyo mzalishaji wa oil hiyo anasema hivo kwamba fully synthetic oil anayozalisha Yeye inakwenda km 20000 bila kupoteza uwezo wake wa kulainisha.

It means wamefanya experiment. Suala la kwamba anavutia wateja, linaweza kuwa kweli but naamini kila kinachoelezwa kimefanyiwa majaribio maabara na barabarani pia.
 
Siwezi kukupinga unachoeleza mkuu, inaweza kuwa kweli au isiwe kweli. Hata hivyo mzalishaji wa oil hiyo anasema hivo kwamba fully synthetic oil anayozalisha Yeye inakwenda km 20000 bila kupoteza uwezo wake wa kulainisha. It means wamefanya experiment. Suala la kwamba anavutia wateja, linaweza kuwa kweli but naamini kila kinachoelezwa kimefanyiwa majaribio maabara na barabarani pia.
Inawezekana ikawa kweli au sio kweli na nadhan utafit wao wameufanya kwenye magari ya watu wa ulaya, kwann nasema hivyo wenzetu gari inatumika kwenye sababu maalumu au pengine inatoka kwa sababu za msingi mfano unaweza kukuta familia moja ina gari maalumu kwa ajili ya kanisani/ msikitini, gari maalumu kwa ajili ya kuendea kazin nk hivyo utumikaje wake ni tofaut na huku kwetu
 
Hoja yako hii ina make sense hasa ukizingatia kuwa wenzetu hata barabara za vumbi hawana na hata zikiwepo ni kwa uchache sana
 
Hoja yako hii ina make sense hasa ukizingatia kuwa wenzetu hata barabara za vumbi hawana na hata zikiwepo ni kwa uchache sana
Kwa huku kwetu Mimi nakushauri kama unatumia oil ambayo ni synthetic na genuine oil filter badilisha kila baada ya km 5000-7000
 
Very simple, kila bei inavyokuwakubwa ndo ubora wa oil ulivo. Nunua bei mbaya kuliko zote. Mm hutumiacastro oil inabei ya kati
Ujue oil yoyote inatengenezwa kwenye maabara na kila mtengenezaji hutengeneza oil kwa kutumia chemicals mbalimbali na pia ubora wa oil huzidiana na hilo liwe wazi tu kila kampuni zinazidiana ubora
 
Ujue oil yoyote inatengenezwa kwenye maabara na kila mtengenezaji hutengeneza oil kwa kutumia chemicals mbalimbali na pia ubora wa oil huzidiana na hilo liwe wazi tu kila kampuni zinazidiana ubora
Mkuu samahani kidogo, Bidhaa za Liqui Moly huwa unachukulia hapa hapa Tanzania au unaagiza nje.
Kuna oil za injini za boti nilienda ofisini kwao hawakuwa nazo.
 
Inawezekana ikawa kweli au sio kweli na nadhan utafit wao wameufanya kwenye magari ya watu wa ulaya, kwann nasema hivyo wenzetu gari inatumika kwenye sababu maalumu au pengine inatoka kwa sababu za msingi mfano unaweza kukuta familia moja ina gari maalumu kwa ajili ya kanisani/ msikitini, gari maalumu kwa ajili ya kuendea kazin nk hivyo utumikaje wake ni tofaut na huku kwetu
Bidhaa inayotumika dunia nzima lazima ijaribiwe dunia nzima. Hasa kwa makampuni makubwa.
 
Infact inaenda hata zaidi ya hizo kilometa maana ni miles 20,000 ambayo ni sawa na kilometa 32,000. Cheki website ya mobil hii hapa. What type of oil and oil filter for my car? | Mobil[emoji769] Motor Oils

Pitia hapa pia .
Mobil 1[emoji769] Annual Protection 5W-30 | Mobil[emoji769] Motor Oils
Bado msimamo wangu upo pale pale kwamba unafikisha km hizo pale tu gari yako inatumika kwa kazi au Masafa ya kawaida! Na ukienda mbali zaidi wamesema unakaa mwaka mzima bila kuchange oil kitu ambacho ni sahihi endapo tu gari yako inafanya in a normal conditions na watengeneza magari ukisoma manual zao wamecategorized ubadilishaji wa oil katika makundi makuu mawili.

01- kuna kundi la gari ambayo kama inatembea in a normal conditions wanashauri ubadilishe oil kati ya miezi 8-12 inategemeana na uendeshaji huo na pia neno normal kwao wanamanisha ni gari ambayo haiko busy yaani kwa mwezi unaweza kuiwasha siku mbili au tatu.

02- severe conditions hapa wanashauri ubadilishe oil kuanzia miezi 3-6 kwa maana ya km 3000-7000 na hapa wanazungumzia ule uendeshaji au utumikaji wa gari mara kwa mara, lakini tukirud huku kwetu uwezo wetu wa kumiliki gari zaidi ya moja na kila gari kuwa na majukumu yake kuna ugumu kidogo ndo maana unakuta IST yako moja inafanya kazi zote kuanzia kwendea kazn.

kanisani kwenye matembez ya kawaida nk sasa ukilinganisha hizo dhana mbili hapo juu nazidi kuwa na wasiwasi kwa hapa Tanzania kubadili oil baada ya hizo km nadhan utakua umeua engine
 
Recommended SAE viscosity ya oil ya gari za Petrol hususani gari ndogo ni 5w 30, ukiikosa nenda kwa 10w 30...full synthetic.....Hapa inaweza ika Total, Castrol, Oryx na nyinginezo nyiiingi..

Hizo SAE 40 ni oil nzito sana kwa gari ndogo na ni Mono grade.

Hizo SAE 40 ndiyo zinafanya injini ya IST inalia kama TATA ya pistoni tatu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa Dar naona kama 5w30 itakuwa nyepesi sana maana temp huwa inazidi 30⁰C.
 
Hizo hazipo mkuu nadhan ni kwa vile bei zake zipo juu mno ndo maana watu wanakwepa kuziweka dukani
Mkuu vipi ukitumia Castrol oil Edge 5w40 kwa gari aina ya Harrier ya mwaka 2005? Imeshatembea 120,000km.

Mana niliona mahali wameandika gari ikizidi km 100,000 unashauriwa kuweka oil yenye viscosity kubwa kidogo ili kusaidia kupunguza friction kwa engene iliyotumika sana.
 
5w30imeshindwa kulinda vyuma kwa uhakika mkuu hadi uende 5w40? Nadhani km hizo bado angalau kidog zikifika 180,000
 
Back
Top Bottom