kingjohn255
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 400
- 513
Ya liquimoly ni 25,000 mkuuMkuu engine flush mnauzaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya liquimoly ni 25,000 mkuuMkuu engine flush mnauzaje?
OK, nimekuelewa kiongozi5w30imeshindwa kulinda vyuma kwa uhakika mkuu hadi uende 5w40? Nadhani km hizo bado angalau kidog zikifika 180,000
Vipi kwa mfano Toyota ie (Toyota Tanzania) wana oil zao zimeandikwa TOYOTA vipi nazo zinafaa?Nyie ndo mnaua magari yenu engine oil ya gari yako hiyo kwa matumizi ya dar ni 5w30, 10w30 na gearbox oil huwa wameandika kwenye dipstic yake aina na number ya kutumia kuja zinazotumia dexron 11,111 iv, WS na cvt ila sasa ukiniambia kampuni nzuri za kutumia kuanzia oil hadi gearbox oil mm nitakutajia kuanzia juu hadi chini kwenye ubora
01- liquimoly...
Ni very high quality hata bei yake ni kubwa mkuu. Zinafaa ila kama kawaida lazima ujue grade ya oil yakoVipi kwa mfano Toyota ie (Toyota Tanzania) wana oil zao zimeandikwa TOYOTA vipi nazo zinafaa?
Zinafaa sana maana ni special kwa magari yao tu hivyo zimetengenezw kulingana na mifumo ya magari yao wenyeweVipi kwa mfano Toyota ie (Toyota Tanzania) wana oil zao zimeandikwa TOYOTA vipi nazo zinafaa?
Samahan mkuu iv WS ni ninNyie ndo mnaua magari yenu engine oil ya gari yako hiyo kwa matumizi ya dar ni 5w30, 10w30 na gearbox oil huwa wameandika kwenye dipstic yake aina na number ya kutumia kuja zinazotumia dexron 11,111 iv, WS na cvt ila sasa ukiniambia kampuni nzuri za kutumia kuanzia oil hadi gearbox oil mm nitakutajia kuanzia juu hadi chini kwenye ubora
01- liquimoly
02 castrol oil...
World standardSamahan mkuu iv WS ni nin
Kwani dar temp yake inazidi ya dubai mkuu?
Yes,au we unasemaje?Kwamba Dubai wanatumia 5w30?
Yes,au we unasemaje?
Mkuu, 5w30 ni 50+ degree za sentigredi. Dar imewahi kufika nyuzi joto hiyo lini? Pia oil viscosity ni zaidi ya joto kuna factors nyingine, ndio maana oil ya Scania Kwa mazingira hayo hayo ya DSM inayo viscosity yake. Someni Manual za magari yenu mkuu.Naona 5w30 Inaweza kutumika hadi 35 degrees. Ila kwa hapa Dar kipima joto kinaweza kusoma 32deg lakini real feel ikawa hata zaidi ya 35deg. So kuwa safe ni kutumia 5W40. Ni mtazamo wangu lakini kufuatana na hiyo chart ya viscocity hapo chini.
View attachment 1513519
Mkuu, 5w30 ni 50+ degree za sentigredi. Dar imewahi kufika nyuzi joto hiyo lini?
Ni very high quality hata bei yake ni kubwa mkuu. Zinafaa ila kama kawaida lazima ujue grade ya oil yako
Mkuu hata hivyo dar haijawahi kufika 35 degree na pia hata Dubai wanatumia hiyo na joto lake hufika 40 degree. Mkuu kikubwa nachotaka kusema ni kuwa oil viscosity ni zaidi ya joto, karibu kila engine joto lake huwa zaidi kuliko joto la nje.Angalia kwenye oils viscicity chart hapo juu. Mwisho wa 5w30 ni 35 degrees!
Mkuu hata hivyo dar haijawahi kufika 35 degree na pia hata Dubai wanatumia hiyo na joto lake hufika 40 degree. Mkuu kikubwa nachotaka kusema ni kuwa oil viscosity ni zaidi ya joto, karibu kila engine joto lake huwa zaidi kuliko joto la nje.
Nimeelewa vyema sana mkuu, ninachosema kama oil inafanya kazi kwenye engine yenye joto la 100 inakuwaje isifae kwenye sorrounding temperature ya 40?Joto linaloangaliwa sio la engine wewe[emoji1787]. Ni la nje. Kwa Dar joto linaweza kuwa linasoma 32 deg lakini real feel ikawa hata 38 deg. Normal engine operating temperature ni btn 90deg an 104deg. (kama mtu kachomoa thermostart haitakaa ifike hapo kwenye hiyo range.
Nimeelewa vyema sana mkuu, ninachosema kama oil inafanya kazi kwenye engine yenye joto la 100 inakuwaje isifae kwenye sorrounding temperature ya 40?
Kikubwa ninachosema ni kuwa Manual ya gari inaeleza vizuri oil grade ipi itafaa kwa gari lako. Mimi binafsi naweka oil kwa kusoma Manual ya gari na sio maelekezo ya fundi ama mtu
Ungenunua Toyota usingepata mateso hayoMsaada jaman naweza pata wapi shock absorber za Honda Fit kwa dar