Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwei kabisa. Ina gear 6 na ni CVT.Vanguard yako inaweza kuwa na gear box ya aina ya CVT. Watu wengi huwa wanatia boko kudhania kila Toyota zinashare the same and similar transmission lubricant.
Hebu tuambie service yako ya mwisho ulipobadili gear box oil uliweka aina gani ?!
Vanguard yako unatakiwa uweke hii kitu hapa chini.
View attachment 1819928View attachment 1819929
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi sio mbishi. Ni kutokujua tu na mbaya zaidi fundi wangu nae hajui.mkuu kwaharaka haraka na kwa uzoefu wangu hapo gearbox ndio anaanza kuwa bye bye na mara nyinyi wenye magari ndio mnaziua bila shaka gari yako gearbox yako ni ya CVT sasa wengi wenu niwabishi mnaweka oil ya kawaida hapo ndio shida huanza na itaendelea hivyo mwishowe kwa style hiyo itakata chain..
lkn vizuri kuipima
Naipata wapi hii mkuu.
Ahsante sana kwa ushauri. Nadhani wewe ndio unaweza kua umegundua tatizo.
Service hua nafanya kwa wakati lakini wananiwekea hizi oil za gearbox za kawaida na sio za CVT.
Je nikibadili oil hili tatizo litaisha?
Vinauzwaje mkuu.View attachment 1825084
Vilivyoharibika kwenye gearbox yako ni hivyo hapo. Na hiyo ndio gearbox yenyewe.
Pound 400 za mwingereza. Bado shipping na kodi juu.Vinauzwaje mkuu.
Hapa Bongo nazipata wapi?
Nisaidie codes zake na transport cost nijue kodi yake kisha nione kama naweza kuiagiza fasta.
Jaribu kwanza kubadili Oil, weka inayotakiwa.Naipata wapi hii mkuu.
Ahsante sana kwa ushauri. Nadhani wewe ndio unaweza kua umegundua tatizo.
Service hua nafanya kwa wakati lakini wananiwekea hizi oil za gearbox za kawaida na sio za CVT.
Je nikibadili oil hili tatizo litaisha?
Gari ikiwa na shida kama hiyo tatizo uwa ni nini mkuu?Ukiwa umesimama ila gear ipo kwenye D linatetemeka au linatikisika sana au?
Service history? Tatizo lilianza lini?
Hafu gereji nyingi diagnosis Bure ila unafanya service kwao.
Mara nyingi plug au miss ya aina yoyote. Kama service history ipo vizuri, sababu inaweza kua nyingine.Gari ikiwa na shida kama hiyo tatizo uwa ni nini mkuu?