Naomba kujuzwa Gereji nzuri ya kufanyia Diagnosis Dar es Salaam

Naomba kujuzwa Gereji nzuri ya kufanyia Diagnosis Dar es Salaam

Hapana, kustuka kama inataka kusimama ghafla ni kwenye gia ndogo tu ama spid ndogo. Binafsi nahisi labda inamis gia ndogo ama namna gani.

Services inafanyiwa on time.
Speed ndogo ni gear kubwa sio ndogo!
 
Ni kwei kabisa. Ina gear 6 na ni CVT.

Nitaifanyia kazi mkuu.

Hizi oil zinapatikana wapi?
Zipo available kwenye maduka ya oil. Lakini pia unaweza kwenda duka la spears za Toyota pale kariakoo, unaweza pata pale.
 
Mkuu mimi sio mbishi. Ni kutokujua tu na mbaya zaidi fundi wangu nae hajui.

Ngoja nibadili oil ya gearbo. Ni kwei hua naweka oil ya kawaida.
Hatari sana. Hizo CVT gearbox ni very sensitive ukiziweka oil ya ATF. Na ukifanya hivyo unaziharibu maana sio oil yake.
 
Anza kufikiria kununua gearbox nyingine. Usipoteze laki 2 yako kwenda kununua lita 8 za CVT TC.
Kwa hii sidhani kama ni necessary kununua gear box kwa sasa. Maana inahitaji kusafishwa na kupewa necessary adjustments.

Kwasasa angeisafisha tu kwanza then acheki maendeleo then if damage ni kubwa anaweza kwenda straight kwenye option ya kununua gear box mpya.
 
Hapa Bongo nazipata wapi?
Mmmmmmhmn labda ukute gari iliyobamizwa ununue gear box mpya.... Ila vipuri kama vipuri sidhani kama utapata hapa bongo maybe nairobi. Hata hivyo kwa gari yako sidhani kama damage imefikia hatua ya kubadilisha gear box au vipuri.

Just flush out hiyo ATF oil then badili na uweke ya CVT.

I hope unajua namna ya kuflush oil ya ATF kutoka gear box ya CVT ...
 
Nisaidie codes zake na transport cost nijue kodi yake kisha nione kama naweza kuiagiza fasta.
Haina haja kwasasa wewe focus na kuisafisha kwaza hakikisha hiyo gear box haina remains za hiyo oil ya kawaida . Though itakugharimu kopo moja la oil maana utaitumia kusukutulia engine kisha kuimwaga kuweka mpya tena nyingine ili ikate remains za ya zamani
 
Back
Top Bottom