Naomba kujuzwa Gereji nzuri ya kufanyia Diagnosis Dar es Salaam

Ni kwei kabisa. Ina gear 6 na ni CVT.

Nitaifanyia kazi mkuu.

Hizi oil zinapatikana wapi?
 
Mkuu mimi sio mbishi. Ni kutokujua tu na mbaya zaidi fundi wangu nae hajui.

Ngoja nibadili oil ya gearbo. Ni kwei hua naweka oil ya kawaida.
 
Naipata wapi hii mkuu.

Ahsante sana kwa ushauri. Nadhani wewe ndio unaweza kua umegundua tatizo.

Service hua nafanya kwa wakati lakini wananiwekea hizi oil za gearbox za kawaida na sio za CVT.

Je nikibadili oil hili tatizo litaisha?

Anza kufikiria kununua gearbox nyingine. Usipoteze laki 2 yako kwenda kununua lita 8 za CVT TC.
 
Naipata wapi hii mkuu.

Ahsante sana kwa ushauri. Nadhani wewe ndio unaweza kua umegundua tatizo.

Service hua nafanya kwa wakati lakini wananiwekea hizi oil za gearbox za kawaida na sio za CVT.

Je nikibadili oil hili tatizo litaisha?
Jaribu kwanza kubadili Oil, weka inayotakiwa.

Jitahidi kufanya service kwenye filling stations kama za Puma, Total
 
Inapendeza mleta mada kwa kupata muongozo...
 
Ukiwa umesimama ila gear ipo kwenye D linatetemeka au linatikisika sana au?

Service history? Tatizo lilianza lini?

Hafu gereji nyingi diagnosis Bure ila unafanya service kwao.
Gari ikiwa na shida kama hiyo tatizo uwa ni nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…