Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Poa kiongozi,gear box aihusiani kabisa na miss kama ile ya ukiwa umesimamia kwenye D?Mara nyingi plug au miss ya aina yoyote. Kama service history ipo vizuri, sababu inaweza kua nyingine.
Jibu la moja kwa moja siwezi sema. Lakini bora tuanze na kurekebisha vitu vdg vdg kama oil, plug, ATF kabla haujagusa hayo ma GearBox.Poa kiongozi,gear box aihusiani kabisa na miss kama ile ya ukiwa umesimamia kwenye D?
Ahsante kiongoziJibu la moja kwa moja siwezi sema. Lakini bora tuanze na kurekebisha vitu vdg vdg kama oil, plug, ATF kabla haujagusa hayo ma GearBox.
Yaani cha kwanza:Ahsante kiongozi
Ahsante kiongoziYaani cha kwanza:
1. Check Plug na Coils.
2. Uje Oil na ATF.
3. Uje engine mounts na mikanda mikanda.
Sasa izo gharama ndogo hazivuki laki 5 zote.
Ahsante kiongozi
Pamoja kaka,nikitiq maguu dar nakuja kukucheck hapo m'chai kukucheckUkikwama nicheck
Speed ndogo ni gear kubwa sio ndogo!Hapana, kustuka kama inataka kusimama ghafla ni kwenye gia ndogo tu ama spid ndogo. Binafsi nahisi labda inamis gia ndogo ama namna gani.
Services inafanyiwa on time.
Zipo available kwenye maduka ya oil. Lakini pia unaweza kwenda duka la spears za Toyota pale kariakoo, unaweza pata pale.Ni kwei kabisa. Ina gear 6 na ni CVT.
Nitaifanyia kazi mkuu.
Hizi oil zinapatikana wapi?
Hatari sana. Hizo CVT gearbox ni very sensitive ukiziweka oil ya ATF. Na ukifanya hivyo unaziharibu maana sio oil yake.Mkuu mimi sio mbishi. Ni kutokujua tu na mbaya zaidi fundi wangu nae hajui.
Ngoja nibadili oil ya gearbo. Ni kwei hua naweka oil ya kawaida.
Kwa hii sidhani kama ni necessary kununua gear box kwa sasa. Maana inahitaji kusafishwa na kupewa necessary adjustments.Anza kufikiria kununua gearbox nyingine. Usipoteze laki 2 yako kwenda kununua lita 8 za CVT TC.
Mmmmmmhmn labda ukute gari iliyobamizwa ununue gear box mpya.... Ila vipuri kama vipuri sidhani kama utapata hapa bongo maybe nairobi. Hata hivyo kwa gari yako sidhani kama damage imefikia hatua ya kubadilisha gear box au vipuri.Hapa Bongo nazipata wapi?
Haina haja kwasasa wewe focus na kuisafisha kwaza hakikisha hiyo gear box haina remains za hiyo oil ya kawaida . Though itakugharimu kopo moja la oil maana utaitumia kusukutulia engine kisha kuimwaga kuweka mpya tena nyingine ili ikate remains za ya zamaniNisaidie codes zake na transport cost nijue kodi yake kisha nione kama naweza kuiagiza fasta.
Si unaona sasa. Ungeanza habari za vipuri hapa wakati issue ni kureplace to oilMkuu nilibadili oil nikaweka inayotakiwa na tatizo limeisha.
Ahsanteni sana kwa msaada wenu wa ushauri.